Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Hili tatizo hata mimi ninalipata. Mimi natumia simu.
Sauti inapatikana bila shida lkn picha hakuna kabisa hususani ITV, TBC, CHANNEL 10 etc.
 
shukrani mkuu yan ki2 inapiga kazi baalàa
Mkuu, mimi katika hii napata sauti tu bila picha.
Vp kuna mautundu yoyote yanafanyika au procedure ni zilezile za kawaida?
 
Hili tatizo hata mimi ninalipata. Mimi natumia simu.
Sauti inapatikana bila shida lkn picha hakuna kabisa hususani ITV, TBC, CHANNEL 10 etc.
nenda setting then video then acceleration kwenye render eka software, hio husaidia kama una gpu kimeo au driver huna
 
nenda setting then video then acceleration kwenye render eka software, hio husaidia kama una gpu kimeo au driver huna
Ahsante sana mkuu,
Lkn nimefanya hivyo na nilipofika kwenye RENDER METHOD imekaa AUTO DETECT na nilipojaribu kuitoa nimeshindwa. Naona kama hakuna option ya kubadilisha ili kuweka hiyo SOFTWARE.
 
Jaman kila nikifungua chanel za mpira zinaload kisha hakuna kitu chochote kinatokea in short chanel za mpira zinzgoma
 
Ahsante sana mkuu,
Lkn nimefanya hivyo na nilipofika kwenye RENDER METHOD imekaa AUTO DETECT na nilipojaribu kuitoa nimeshindwa. Naona kama hakuna option ya kubadilisha ili kuweka hiyo SOFTWARE.
am not sure kwanini umeshindwa kubadili, chini kushoto kuna setting level unaweza badili kuanzia basic hadi expert jaribu kueka hadi expert then change iwe software render
 
download es file explorer utumie ku extract au zip manager yoyote. hilo file lipo mfumo wa zip na simu haiwezi fungua zip hadi ipate msaada wa application nyengine.
Chief mkwawa chanel zote za mpira kwangu zingoma kuplay zina load tu kisha hakuna kinachotokea chochote wakati chaneli zingine zinkubali ku play nimedownload sports devil pamoja,israel tv pamoja na zemu tv msaada wako plz
 
Zemtv
Nafikiri hiyo unaweza itumia minachekia hapo sport.
 
Chief mkwawa chanel zote za mpira kwangu zingoma kuplay zina load tu kisha hakuna kinachotokea chochote wakati chaneli zingine zinkubali ku play nimedownload sports devil pamoja,israel tv pamoja na zemu tv msaada wako plz

labda una version za zamani, make sure una latest version
 
Kwako Chief Mkwawa ni vipi kuhusu TTCL IPTV tunawezaje kuitumia kama kuna uwezekano hebu tujuze mkuu tafadhali.
 
Nnatumia tablet samsang, nmekuwa naangaria mpira kupitia streaming bt huwa inakata baada ya dk 40, na kuandika error conection, halafu ni chenal za kiarabu, naweza kusaidiwa kuwa napata moja kwa moja?
 
Jmn mi naomba msaada, nimedownload kodi, ad on ya watchmojo ipo lkn sijui nifanye nini zaid ili kuweza kuangalia mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…