Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,726
OOPs, nimegundua hiyo repo ya jamaa ina plugins nyingi ambazo hazifanyi kazi. Kama utapata matatizo hayo basi njia nyingine ni kuinstall plugin moja kwa moja peke yake lakini maelekezo ni hayo hayo kwenye video. Advanced Settings unaweza kuipata hapa.Thanx ntajaribu