Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Thanx ntajaribu
OOPs, nimegundua hiyo repo ya jamaa ina plugins nyingi ambazo hazifanyi kazi. Kama utapata matatizo hayo basi njia nyingine ni kuinstall plugin moja kwa moja peke yake lakini maelekezo ni hayo hayo kwenye video. Advanced Settings unaweza kuipata hapa.
 
Nani anielekezee jinsi ya kutumia hdmi cable ya kutoka kwenye simu kwenda kwenye tv. Nimenunua hdmi cabel ila nikiunganisha kutoka kwenye simu kwenda kwenye tv hadetect au haionyeshi signal yyte watu
 
Nani anielekezee jinsi ya kutumia hdmi cable ya kutoka kwenye simu kwenda kwenye tv. Nimenunua hdmi cabel ila nikiunganisha kutoka kwenye simu kwenda kwenye tv hadetect au haionyeshi signal yyte watu
cable gani? una converter? simu gani?
 
pia angalia kama usb yako ni 11 pin au 5pin sababu nimesoma mahali note 4 inataka 11pin

Chief mkwaawa nimekukubali sasa nafanyaje ili kudownloaieod kupitia Google play
 
Chief mkwaawa nimekukubali sasa nafanyaje ili kudownloaieod kupitia Google play
kwa baadhi ya simu unaipata playstore kama huipati download toka website yao link ipo juu kwenye thread
 
Good stuff, sijui nilikua wapi muda wote huu! The world is moving fast!
 
Nimekuwa nikitumia SportsDevil kwenye kodi lakini kwa miezi kama miwili hivi sijaitumia. Nimejaribu leo, kila nikifungua inaniambia "No Stream Available".
Tatizo ni nini na nifanyeje?

Nimeupdate kodi na Sportsdevil lakini bado.
 
tatizo la hizi plugins developer akizembea inabidi tu uwe mpole utafute plugins nyengine.

ngoja uhakikishe kama wengine wanapata tatizo kama lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…