Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Nimekuwa nikitumia SportsDevil kwenye kodi lakini kwa miezi kama miwili hivi sijaitumia. Nimejaribu leo, kila nikifungua inaniambia "No Stream Available".
Tatizo ni nini na nifanyeje?

Nimeupdate kodi na Sportsdevil lakini bado.
Jaribu version hii mpya (imekarabatiwa mwezi huu). Binafsi nimetokea kuipenda Live Mix plugin kwa michezo ingawa hii plugin ina channels kibao nyingine. Yaani kama Sportsdevil inachengua unabadilisha Live Mix na maisha yanakwenda.
 
hapana haihitaji software kuna feedback ya Kibajajitz kuwa s4 zenye latest software hazikubali mhl cable kama hio sijui kwa case ya simu yako ni vipi.
Chief mkwawa msaada,mimi niliweka kodi na plugin tatu nikawa na pata baadhi ya chaneli lakini ninamuda kama mwezi na nusu sijatumia leo nimejaribu kufungua hazionyeshi.Je tatizo litakuwa nini na nifanyeje?.Nawezeja kuzitoa na kuweka tena?.Natumia laptop hp.
 

plugin za bure si rahisi zidumu muda wote huo bila kufanyiwa updates. hapo ukieka version mpya ya hio plugin zitafanya kazi.
 
Asante Mkuu, nadhani UEFA leo nitaipata.
Aroo, inawezekana ukapata hiyo message "No stream available" kwenye Sportsdevil lakini ni suala la kubadilisha channels tu. Kwa mfano nimejaribu: Sportsdevil>Sportstv>MamaHD>BT Sports Europe na ninaangalia Man C Vs PSG bila taabu kabisa. Inaweza ikatokea channels nyingine kama Live Sports zinakuwa zinaelemewa kwa siku kama ya leo sababu ya mechi kabambe za UEFA ndio maana unapata No Stream available. Ni suala la kujaribu kubadilisha channels.
 
Apreciated Mkuu.
Tatizo co congestion kwa mechi ya leo kwan ni muda hilo tatizo lipo nadhani shida ipo kwenge Live sport.
 
Chief mkwawa
salama mkuu sasa nilikuwa naomba msaada wako mimi nina qsat 11 ninahitaji sofware za kufungua channel za mpira msaada tafadhari
 
Nashukuru kwa moyo wako kwani msaada wako umewasaidia wengi sana nikiwemo mimi mwenyewe.Ahsante
 
Chief habari ya majukum makubwa yakutuelimisha sasa nilikuwa naomba msaada wako nataka kufaham ni application gani ambayo inaweza kudownloaieod session za imdb?
 
Chief habari ya majukum makubwa yakutuelimisha sasa nilikuwa naomba msaada wako nataka kufaham ni application gani ambayo inaweza kudownloaieod session za imdb?
Hebu jaribu Genesis. Baada ya kudownload Genesis kuna maelezo ya kuingiza akaunti ya IMDB hapa. Natumaini itasaidia kujibu swali lako.
 
Chief habari ya majukum makubwa yakutuelimisha sasa nilikuwa naomba msaada wako nataka kufaham ni application gani ambayo inaweza kudownloaieod session za imdb?
sijaelewa hizo session ndio zipi
 
Msaada simu yangu imegoma kuinstall kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…