Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

ni gharama mkuu kuzieka online, njia rahisi ni wao wenyewe waeke au uzieke wewe halafu watu walipie
Shukran mkuu



Ila naomba msaada kidogo utawia radhi kutoka nje ya uzi kidogo naomba kufaham kama kuna uwezekano wa kuona signature za members kwenye post zao ukiwa watumia tapatalk au jf apps?
 
Shukran mkuu



Ila naomba msaada kidogo utawia radhi kutoka nje ya uzi kidogo naomba kufaham kama kuna uwezekano wa kuona signature za members kwenye post zao ukiwa watumia tapatalk au jf apps?
mkuu situmii hio app. ukiview profile zao huoni?
 
Niwekee azam two mkuu
Mkuu sipo nyumbani, lakini fungua hilo file na utakuta links humo, ila jaribu zipi zinafanya, maana nyingi hazifanyi, lakini azam2 bado inafanya.
vinginevyo pakua hilo file halafu badili .txt na weka .m3u, halafu liweke kwenye player yako na zitakuja channels zote.
 

Attachments

Mkuu naomba unipe tips za kuweka hii maana nimepitia pages za juu sielewi
 
Mkuu sijaelewa hapo
ni hivi: pakua hilo file halafu
Mkuu sijaelewa hapo
Ni hivi mkuu: pakua hilo file halafu badilisha au futa hiyo .txt na weka .m3u , baada ya hapo chukua hilo file lako jipya (africa_april.m3u) na liweke kwenye player yako, hapo utapata channels utaangalia zile ambazo bado ziko live (kama azam 2) na nyinginezo, ila kuna baadhi ziko offline.
 
Shukran sana mkuu nimefanikiwa aisee
 
Wadau ninaomba kufahamu jinsi ya kuiseti kodi ili iweze kufanya kazi kwa ufasaha zaidi baada ya kuinstall na kuweka zile addons
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…