Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Tv ambayo haina wireless ! Lazma u2mie cable ? Km ndiyo hyo cabla inaitwaje ? Kodi nnayo kwenye cm na inafanya kazi
 
Namaana ututengenezee ili tuweze kuweka kwenye kodi
huna lile file la .strm? kama unayo tayari playlist ya kodi fungua file lake halafu copy hio link then paste kwenye playlist yako ya kodi halafu save.
 
Back
Top Bottom