Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Sina file la strm mkuu nielekeze nalipataje?
nenda page 46 utalipata file,

download es file explorer halafu extract tv.zip ndani utapata tv.strm fungua hilo file na es file explorer halafu copy link paste humo ndani hizo nyengine za humo ndani unaweza kuzifuta.
 
Reactions: Lee

Mkuu nimeenda page 46 nimekuta phonex addon au ndo hiyo maana mimi playlist loader nayo sasa pakuanzia sasa
 
Samahani mkuu je mm ninae tumia nokia lumia nifanyaje kuangalia na mm.
 
Samahani mkuu je mm ninae tumia nokia lumia nifanyaje kuangalia na mm.
tafuta app kama tvizzle au vlc kama alivyosema Krait hapo juu zinakubali kustream ukieka url,

kama hio tvizzle inakubali kueka url na kusave hivyo kujitengenezea mwenyewe chanell list
 
Naomba kufahamu jinsi ya kuingiza m3u za sports kwenye playlist loader
 
Naomba kufahamu jinsi ya kuingiza m3u za sports kwenye playlist loader
Kwenye pc au simu

kwenye pc tafuta usb flash weka playlist yako humo kisha weka kwenye pc fungua kodi nenda playlist loader fungua itakupa option ya kurename hilo file utarename utakupa option ya logo ya hilo file unaweza skip kisha itakulocate kwenye usb flash kuweka hilo file lako lako playlist utalifungua utakula mambo.Kama sijaeleweka uliza maana nasi tumejua kwa kuuliza uliza.
 
Bro nina tv samsung smart je naweza install hii iptv humo?
 
Sijajua nadhani itakuwa android,since its samsung,ni hizi curve tv
nafkiri ni Tizen, anza na browser kwanza (kama ipo) jaribu kueka hata link ya azam iliotolewa hapa halafu play then angalia kama itaplay, ikikataa jaribu kutumia app ya ss iptv google utaipata
 
nafkiri ni Tizen, anza na browser kwanza (kama ipo) jaribu kueka hata link ya azam iliotolewa hapa halafu play then angalia kama itaplay, ikikataa jaribu kutumia app ya ss iptv google utaipata
Thanks bro,the thing is hiyo tv nilimpelekea bi mkubwa bongo, sasa kuna mjomba mmoja mtutndu itabidi nimfowardie haya maelekezo,itakavyokuwa nitakupa mrejesho,God bless you bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…