Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Jamani nimeona kweny pita pita zangu kwamba TV1 wanaonyesha epl msimu huu sasa najua kupitia hii IPTV ningependa kupewa link za hiyo chanel naimani inawezekana kwa kupitia ma legend wetu wa humu jukwaani xo ninaimani mtanisaidia
 
Leo nimesikiaa Watanzania kuangaliaa lig ya EPL buree..... Naomba kujuzwaa imekaaaje hii?
 
Leo nimesikiaa Watanzania kuangaliaa lig ya EPL buree..... Naomba kujuzwaa imekaaaje hii?
itakua ni mechi 1 tu, hakuna kampuni yenye uwezo wa kuonyesha epl bongo, unless wawe wameanza kutoa haki za nchi moja moja badala ya nchi zote za kusini mwa jangwa la sahara
 
Mi mbona nikifungua kodi nikitaka kuiweka hiyo uliyoisave tv zako inagoma maama nimeenda kwenye SYSTEAM=ADDONS=FROM ZIP FILE au kuna njia nyingine
hio sio addons ni tv tu za kawaida, nenda video halafu file halafu click browse halafu navigate hadi ulipoeka hilo file kisha click ok. rudi tena video halafu file utaziona tv zako
 
hio sio addons ni tv tu za kawaida, nenda video halafu file halafu click browse halafu navigate hadi ulipoeka hilo file kisha click ok. rudi tena video halafu file utaziona tv zako
Mkuu nimefata hizo njia lakin cha kushangaza hilo file limejidownload kwenye file la download kwenye file manager alionekani,lakin nikienda kawaida kwenye file manager=download hiko kifaili cha tv zetu nakikuta
 
Attachments

  • Screenshot_2016-08-04-14-40-34.png
    65.5 KB · Views: 59
  • Screenshot_2016-08-04-14-39-47.png
    25.1 KB · Views: 57
Mobdro ndo mpango
kama umezoea kutafuniwa mobdro utaiona nzuri, mfano mzuri tu angalia mobdro kuna azam? ukitaka azam tv utafanyaje? pia quality ya mobdro ni mbaya sana hasa kama unaangalia kwenye simu ya kisasa au tv yenye resolution kubwa
 
Mkuu nimefata hizo njia lakin cha kushangaza hilo file limejidownload kwenye file la download kwenye file manager alionekani,lakin nikienda kawaida kwenye file manager=download hiko kifaili cha tv zetu nakikuta
1. jaribu ku extract kwanza ndani utakuta file la tv zako

2.unapichagua folder la download kwenye kodi hutaliona file la tv zako ila we chagua tu folder ukiingia video halafu files ndio utalipata
 
1. jaribu ku extract kwanza ndani utakuta file la tv zako

2.unapichagua folder la download kwenye kodi hutaliona file la tv zako ila we chagua tu folder ukiingia video halafu files ndio utalipata
Mkwawa hiyo file naiwekaje kwa tv zille au vlc niweze zitumia pia
 
Sasa kaka chief kiukweli sasa hivi inaniletea giza sasa[emoji134] [emoji134]
 
Hizi sim sijui nyie eti mnaziita android mkuu huaway
jaribu kuclear cache kwanza, nenda setting halafu application halafu itafute kodi then clear cache

pia jaribu kueka latest version toka website ya kodi kama hio itakataa.

pia inategemea na shida yako kama unataka tu labda kuona chanell chache kama hizo za bongo tumia mx player itafanya kazi
 
kama umezoea kutafuniwa mobdro utaiona nzuri, mfano mzuri tu angalia mobdro kuna azam? ukitaka azam tv utafanyaje? pia quality ya mobdro ni mbaya sana hasa kama unaangalia kwenye simu ya kisasa au tv yenye resolution kubwa
Yap ni kweli tatizo izo nyingine process zake zimenishinda Azam 2 link yake nime Paste ktk mx player iyo haina tatizo naipata bila tabu
 
Kaka nimeclear catch

Nilichopata iankua kama inaanza halafu inajikata ghafla aseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…