Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Tatizo jingine wakuu, naweka hzo fusion addson inaleta notification remote share; couldn't connect to network server
 
Chief_ mkwawa samahani jamani msaada wako ni wa muhimu
Mimi kodi yangu haifunguki
Nisaidie mkuu kwenye simu yangu, na kwenye pc yangu nikijaribu kuinstall addons hazikubali naambiwa vitu vya ajabu ajabu

Mkuuu msaada tafadhari
 
Tumia program inaitwa freetelly ipo kama kodi hii wanekulahisishia kila kitu
 
Tatizo jingine wakuu, naweka hzo fusion addson inaleta notification remote share; couldn't connect to network server
unakosea kuandika addres yake ndo maana, mimi jana nilikuwa naweka kwenye simu ya sister ikawa inatokea hivyo lakini baada ya kuandika kwa usahihi haikutokea tena
 
Chief_ mkwawa samahani jamani msaada wako ni wa muhimu
Mimi kodi yangu haifunguki
Nisaidie mkuu kwenye simu yangu, na kwenye pc yangu nikijaribu kuinstall addons hazikubali naambiwa vitu vya ajabu ajabu

Mkuuu msaada tafadhari
umejaribu kueka addons za kawaida za ndani ya kodi? kama hio watchmojo?
 
1470707471177.jpg
 
Jamani hiyo azam sports hd taingia nimeanza jaribu inakataa hiyo hiyo site unaifanyaje inahitaji editting au??
 
Hello Chief Mkwawa hii kodi kwenye window phones inakubali (Microsoft Lumia 540). Msaada tafadhari
 
hapana haikubali, kwa windows phone tumia tvizzle au vlc kuplay hizo links, search store hizo programs
 
mim napenda kuangalia tv tangu asbh mchana mpk jion sasa hapo si itakula mb???
 
Chief mkwawa baaa ya wewe kunionjesha utam wa hii kitu inaitwa kodi, yani nimekosa rahaa kabisaaaaa, kwani nimeshindwa kuifaidi

Hii simu nayo naanza kuiona kama ni tatizo nikitaka kudownload inaniambia memori haitoshi,
Nikiangalia, Interna nina 1GB
External nina 11GB
Default yangu ni externa lakini kila nikijaribu mambo inaniambia sina memori ya kutosha, nikiangalia app nayotaka ina 50mb tu sasa hapa tatizo ni nini??????

Je nikiroot inaweza kuniondolea kero hiyo.

Kamwe nilikua nimepanga niachane nayo lakini naona siwezi kuiacha ikiwa hai, walahi naapa kuinyonga hata kwa kujifunzia ku root

MANAKE VITENDO INAVYONIFANYIA NI VYA KINYAMA SANA, HAIKUSTAILI KUNIFANYIA HIVI KWANI NIMEKUA NIKIIAMINI SANA
 
memory inaweza maanisha mambo mawili, ram au storage (internal&external)

nenda setting halafu storage angalia space yako ipo vipi kuna baadhi ya simu zina storage za aina tatu tofauti internal storage, phone(mass) storage na external storage (memory card) na kati ya hizo tatu moja tu ndio hutumika na apps ambayo ni internal.

pia sio lazima utumie kodi kama imeshindikana unaweza tumia vlc, mx player, acestream nk au download hii eka link zako mwenyewe
IPTV - App Android su Google Play
 
Back
Top Bottom