Kimaa cha mani
Member
- Jan 16, 2014
- 41
- 26
Ok Chief, will return for feedbackpage kadhaa zilizopita imepostiwa mkuu bein sport rudi nyuma page utaziona. unaweza play na kodi, vlc, mx player etc
Hilo tatizo nami ninalo aseeee msaada wa haraka unahitajika juu ya hiliTatizo jingine wakuu, naweka hzo fusion addson inaleta notification remote share; couldn't connect to network server
Tumia program inaitwa freetelly ipo kama kodi hii wanekulahisishia kila kituChief_ mkwawa samahani jamani msaada wako ni wa muhimu
Mimi kodi yangu haifunguki
Nisaidie mkuu kwenye simu yangu, na kwenye pc yangu nikijaribu kuinstall addons hazikubali naambiwa vitu vya ajabu ajabu
Mkuuu msaada tafadhari
Kaka hapa mi napata orodha na hii kodi ipo kwenye hiyo orodhaTumia program inaitwa freetelly ipo kama kodi hii wanekulahisishia kila kitu
unakosea kuandika addres yake ndo maana, mimi jana nilikuwa naweka kwenye simu ya sister ikawa inatokea hivyo lakini baada ya kuandika kwa usahihi haikutokea tenaTatizo jingine wakuu, naweka hzo fusion addson inaleta notification remote share; couldn't connect to network server
umejaribu kueka addons za kawaida za ndani ya kodi? kama hio watchmojo?Chief_ mkwawa samahani jamani msaada wako ni wa muhimu
Mimi kodi yangu haifunguki
Nisaidie mkuu kwenye simu yangu, na kwenye pc yangu nikijaribu kuinstall addons hazikubali naambiwa vitu vya ajabu ajabu
Mkuuu msaada tafadhari
kwenye source weka website yao yaani Index of / na sehemu ya jina andika fusion hakikisha unaanza na Index of /Uliandikaje mkuu?
hapana haikubali, kwa windows phone tumia tvizzle au vlc kuplay hizo links, search store hizo programsHello Chief Mkwawa hii kodi kwenye window phones inakubali (Microsoft Lumia 540). Msaada tafadhari
ndio itabidi uwe na internet unlimitedmim napenda kuangalia tv tangu asbh mchana mpk jion sasa hapo si itakula mb???
memory inaweza maanisha mambo mawili, ram au storage (internal&external)Chief mkwawa baaa ya wewe kunionjesha utam wa hii kitu inaitwa kodi, yani nimekosa rahaa kabisaaaaa, kwani nimeshindwa kuifaidi
Hii simu nayo naanza kuiona kama ni tatizo nikitaka kudownload inaniambia memori haitoshi,
Nikiangalia, Interna nina 1GB
External nina 11GB
Default yangu ni externa lakini kila nikijaribu mambo inaniambia sina memori ya kutosha, nikiangalia app nayotaka ina 50mb tu sasa hapa tatizo ni nini??????
Je nikiroot inaweza kuniondolea kero hiyo.
Kamwe nilikua nimepanga niachane nayo lakini naona siwezi kuiacha ikiwa hai, walahi naapa kuinyonga hata kwa kujifunzia ku root
MANAKE VITENDO INAVYONIFANYIA NI VYA KINYAMA SANA, HAIKUSTAILI KUNIFANYIA HIVI KWANI NIMEKUA NIKIIAMINI SANA