Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Nipo abroad natamani kucheki mechi na mambo mengineyo, lakini nikifungua website za mashirika husika mfano Azam TV sioni option ya streaming....msaada wenu wakuu, au kama pana youtube channel ya mambo haya ambapo naweza kuangalia tv za nyumbani nielekeze cha kufanya.
 
Azam TV wapo online kwenye lice stream

Chakufanya ingia kwenye website yao then utaona channel zilizo online

Click hizo channel then play kwa kutumia MX player au live stream player
 
Hizi link mbona hazikubali, unatumia browser gani?
Leo azam wameziweka offline kwasababu za kibiashara especially

Mechi hii ya simba na yanga ili wapate kipato kupitia recorder zao
 
Azam TV wapo online kwenye lice stream

Chakufanya ingia kwenye website yao then utaona channel zilizo online

Click hizo channel then play kwa kutumia MX player au live stream player
Nimejaribu naona kama haipo active...sijajua nakosea wapi
 
Kweli wewe ni tindikali! Ndo ushauri gani sasa huu...
Omeona ushauri wangu ni mbaya?

Ngoja basi tusubiri nani atakupa linki hapa za kuangalia TV za bongo bure bure ati kidijitali.... maana naona huijui thad weldi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…