Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nisaidie file za azam one,two na hd sport mkuupackage channel za Russia:
https://www.sendspace.com/file/srch9z
package channel za pakistan:
https://www.sendspace.com/file/nbnzas
package channel za France:
https://www.sendspace.com/file/1izmd6
ahsante kiongozi, nilidhani nitapata chanel za ndani.Hakuna
umejaribu kueka watchmojo? ni kati ya addons za ndaninime download kodi fresh baaada ya apo nka install addons ya phoenix vizuri ikaingia nimeifungua kila nacho fungua kiaishia kuload tu na akuna kinachofungua nkaona isiwe shida nka jaribu ku install addons za mulemule zilizomo ndan ya kodi lkn tatizo liko pale pale sasa sijui shda n nini? natumia halotel nina gb za kutosha natumia laptop windowz10 wadau msaada au kuna player or kituchochote kiicho miss?
iyo watch mobo ina saidia ku play kwa uraisi? embu nielekeze jininsi ya ku install mkuuumejaribu kueka watchmojo? ni kati ya addons za ndani
hapana haisadiii kuplay kwa urahisi, bali ni addon ambayo muda mwingi ipo active, idownload store ya kodi halafu ujaribu kuplay. lengo ni kujua tatizo lipo wapiiyo watch mobo ina saidia ku play kwa uraisi? embu nielekeze jininsi ya ku install mkuu
nimeicheki watch mojo ipo down sasa hivi, test youtube ipo store nayonime add addonss ya paki india install kwaa zip imeinkia ila haifunguki kabisa pia
Mkuu...vp..kwa...nokia..Lumia 620...pia angalia kama usb yako ni 11 pin au 5pin sababu nimesoma mahali note 4 inataka 11pin
![]()
Kuna jamaa anauza hicho kifaa utaweza angalia hivo unavyotaka mkuuMkuu...vp..kwa...nokia..Lumia 620...
Kuna...mtu...anataka...aunganishe..na...tv..yake...pindi..anapo-stream...mpira
njia pekee ya lumia 620 ni DLNA na hii ni mpaka app husika issuport. ni ngumu sana kwa hio simu.Mkuu...vp..kwa...nokia..Lumia 620...
Kuna...mtu...anataka...aunganishe..na...tv..yake...pindi..anapo-stream...mpira
lumia 620 inakubali? kifaa gani?Kuna jamaa anauza hicho kifaa utaweza angalia hivo unavyotaka mkuu