Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

wanandugu naomba kufahamishwa anaejua app kwa simu au computer za televisheni za ndani ya Tanzania.
 
Asante kwa maujuz, vp hakuna tbc, channel 10, Itv clouds na star tv
 
nime download kodi fresh baaada ya apo nka install addons ya phoenix vizuri ikaingia nimeifungua kila nacho fungua kiaishia kuload tu na akuna kinachofungua nkaona isiwe shida nka jaribu ku install addons za mulemule zilizomo ndan ya kodi lkn tatizo liko pale pale sasa sijui shda n nini? natumia halotel nina gb za kutosha natumia laptop windowz10 wadau msaada au kuna player or kituchochote kiicho miss?
 
umejaribu kueka watchmojo? ni kati ya addons za ndani
 
iyo watch mobo ina saidia ku play kwa uraisi? embu nielekeze jininsi ya ku install mkuu
hapana haisadiii kuplay kwa urahisi, bali ni addon ambayo muda mwingi ipo active, idownload store ya kodi halafu ujaribu kuplay. lengo ni kujua tatizo lipo wapi
 
nime add addonss ya paki india install kwaa zip imeinkia ila haifunguki kabisa pia
 
pia angalia kama usb yako ni 11 pin au 5pin sababu nimesoma mahali note 4 inataka 11pin

Mkuu...vp..kwa...nokia..Lumia 620...
Kuna...mtu...anataka...aunganishe..na...tv..yake...pindi..anapo-stream...mpira
 
Mkuu...vp..kwa...nokia..Lumia 620...
Kuna...mtu...anataka...aunganishe..na...tv..yake...pindi..anapo-stream...mpira
njia pekee ya lumia 620 ni DLNA na hii ni mpaka app husika issuport. ni ngumu sana kwa hio simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…