lumia 620 haina miracast ina DLNA tu hivyo kama nilivyosema hapo juu DLNA hadi app husika issuport, na sijaona app ya mpira ya DLNA, app za DLNA za wp8 ninazozijua ni lumia play to, tubecast na cast nyengine ambazo huplay tu picha na video.Hichi hapa
Sawa sawa mkuu.naona hapo wenye window wataishia kuplay tu video.umefafanua vizuri mkuu.lumia 620 haina miracast ina DLNA tu hivyo kama nilivyosema hapo juu DLNA hadi app husika issuport, na sijaona app ya mpira ya DLNA, app za DLNA za wp8 ninazozijua ni lumia play to, tubecast na cast nyengine ambazo huplay tu picha na video.
simu zenye miracast ndio hustream bila matatizo.
yap video na youtube kutumia hio tubecast, ila kama kuna mtu anajua app ya dlna inayosuport stream itakubali. ubaya ni kwamba tubecast haikubali youtube live ingekubali ungeangalia mpira kwa youtube.Sawa sawa mkuu.naona hapo wenye window wataishia kuplay tu video.umefafanua vizuri mkuu.
Kweli kabisa mkuu.hapa naona wenye android ndio uwanja mpana sana kwao.hata akina iphone pia naona inakubaliyap video na youtube kutumia hio tubecast, ila kama kuna mtu anajua app ya dlna inayosuport stream itakubali. ubaya ni kwamba tubecast haikubali youtube live ingekubali ungeangalia mpira kwa youtube.
pamoja sanA MKUU ,wape hi vijana kuleeWakuu Salama ?
leo nimekuja special kwa wale wapenda soka ninawaletea njia smart sana kwa kuangalia kila aina ya soka katika laptop au simu......
kwanza kabisa install VLC player ktk laptop au simu.
kisha fungua kwa njia ya web browser hii website:
قنوات البث المباشر
click ktk neno limeandiwa :
مشاهدة البث
hapo utaona channel inafanya kazi.
uzuri wa njia hii hakuna mambo ya freezing na kuna channel 10.
Amani ya mola iwe nanyi.
Easy advanced setting inasemekana inaondoa buffering kwenye kodi sasa ninaomba kufahamu namna ya kuseti kwa sababu nimeinstall na buffering ziko palepale.
Hii yako haitumiki kwa Windows zikiwemo za PCjaribu kutumia hii app http://bit.ly/2g2ODUl
inatumika kwa simu za android kama unataka kutazama kwenye pc nenda Home ila kuna channel chacheHii yako haitumiki kwa Windows zikiwemo za PC