Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

ttz jingine hii app nimeiweka kwenye taskbar kila nikiifungua badala ya kufunguka moja kwa moja ,naanza upya tena kuinstall na kuirun upya, i mean haifunguki moja kwa moja
utakuwa kwenye taskbar umeeka setup na sio program yenyewe
 
Naomba wenye kuzifahamu addons nzuri za mpira ambazo hazina kugomagoma
 
Fata tutorial ya vdtube kuna add on nyingi sana tafuta humo zote Ni channel za mpira
Mkuu mimi hili swala la kuweka addd on naona linanitoa jasho sana, naipatia wapi hii vdtube25, maana nmeshindwa kuiona kwny add ons za pale kwny videos, naomba msaada.
 
Mkuu mimi hili swala la kuweka addd on naona linanitoa jasho sana, naipatia wapi hii vdtube25, maana nmeshindwa kuiona kwny add ons za pale kwny videos, naomba msaada.

mkuu umejaribu addon ya kawaida kwanza? jaribu hizo unazoziona zikifaa then unaanza kujifunza hizi nyengine.

addons za mpira, movie na mambo mengine mazuri hazipatikani kwenye store ya kodi unazieka mwenyewe.

pia unatakiwa kujua kueka playlist ya url tofauti za live tv ili kujiekea tv zako mwenyewe kama tv za tanzania, kenya etc.
 
Yeah nshaweza kufanya yote nlianzia kwny watchmojo ikakubali, sasa nataka add ya hyo vdtud25 cjui, naipatia wapi....??
 
hio ni phoenix ila sidhani kama bado nzima, eka zem tv zipo zote hizo nimeitest sasa hivi
Zemtv naona haitak kudownload mkuu, ila zpo nyingi znakubali bt hili likodi n zito sana yani litahitaji rate kubwa ya ntwrk.
 
hio ni phoenix ila sidhani kama bado nzima, eka zem tv zipo zote hizo nimeitest sasa hivi
Mkuu nikuulize kitu, ila ntahitaji unijibu kwa mapana zaidi ukipata muda, swali ni hivi, ni tv gani ya kisasa inauwezo wa kufanya kazi km kompyuta, yaani iwe na uwezo wa kukamata wireless ntwrk au kuinstall modem drivers, iwe na uwezo wa kuinstall programs km hii ya kodi na nyingnezo, je inawezekana kwa hizi tv za kisasa kuweka kuoperate browsers km operamini, chrome n.k, nawezaje kutype maneno while remote haijawekwa herufi, naomba unienlighten juu ya hili mkuu.
 
Zemtv naona haitak kudownload mkuu, ila zpo nyingi znakubali bt hili likodi n zito sana yani litahitaji rate kubwa ya ntwrk.
hahaha inadepend na quality na aina ya streaming ila kodi yenyewe ni nzito kama kifaa chako hakina specs za kutosha.

unatumia kifaa gani? kama shida ni mpira tu nikuangalizie aina nyengine ya kuplay tv
 
Natumia elitebook 2570p
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…