Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Hamna mkuu wameweka stations zao tu na uwez kudownload apps yeyote ipo strictly sana you tube ndo naangalia bila account
simaanishi kudownload apps, namaanisha kueka player kama vile vlc au player yoyote inayoplay video hakuna? cheki hio player haina option ya manual kueka url?
 
Hamna mkuu wameweka stations zao tu na uwez kudownload apps yeyote ipo strictly sana you tube ndo naangalia bila account
pia kama una iphone nafkiri unaweza tumia air play standard ya apple ya wireless
 
simaanishi kudownload apps, namaanisha kueka player kama vile vlc au player yoyote inayoplay video hakuna? cheki hio player haina option ya manual kueka url?
Haina kabisa haikubali kitu kuweka nimesoma google wanadai kimefungwa hadi u jailbreak napo nimeshindwa
 
Basi kama ina port ya HDMI kazi imeisha!!....... Cha kufanya nunua HDMI cable chomeka kwenye king'amuzi chako then ichomeke hapo kwenye hiyo HDMI port katika tv yako na kazi inakuwa imeisha kwa sababu utakuwa unapata tv channels kama kawaida!!
 
nisaidieni add on nayoweza kupata channel ka mtv trace na channel nyingine za mizk plus movies.
 
mbona nimecheki site ya vlc hapa wana app ya apple tv? idownload hio mkuu
Natoka nnje ya mada kidogo ila i do hope swali langu unaweza kulimudu kunijibu, Nina decoder ya digitek yenye cable ya HDMI, Jekuna namna yakuunganisha monitor za kawaida ya pc na kucheck tv steshen za kawaida?
 
Tafuta hii cable "HDMI Male to VGA"
 
Natoka nnje ya mada kidogo ila i do hope swali langu unaweza kulimudu kunijibu, Nina decoder ya digitek yenye cable ya HDMI, Jekuna namna yakuunganisha monitor za kawaida ya pc na kucheck tv steshen za kawaida?
kama monitor ina hdmi utahitaji tu waya wa hdmi kama haina utahitaji converter around 30,000 mpaka 40,000 hivi.

nashukuru Kwa majibu yako natumai soon ntapata kuungalia Chanel za tv Kwa miundo mbinu ya bei rahisi japo Cjajua negative effect yake.
monitor haina setting kama za tv, ila uzuri wa monitor ni kwamba zina resolution kubwa, monitor ya 60,000 inakuwa na resolution kubwa kushinda tv za laki 5 hadi 7, na monitor ya laki 5 hadi milioni inashindana na tv za milioni tatu kupanda useme tu ukubwa wa kioo kwa monitor unakuwa mdogo wakati tv kioo ni kikubwa.

sababu monitor ni ndogo kiumbo zinafit mazingira ambayo hukai mbali na tv kama unakaa mbali hutaenjoy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…