Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

.hiyo stick tv huwa inawekwaje bundle la internet?ina line kama ya simu au?
- Haiwekewi bundle la internet.
- Haina mahala pa kuweka laini

Android Tv box

- zinapokea internet toka kifaa kingine
- Mfano waweza kuiunga TV box kwenye internet kwa kutumia
1. Wireless - hapa chanzo cha Wi-Fi chaweza kuwa simu yako au wireless router
2. Waweza kutumia LAN cable - Iwapo ina tundu husika

3. Na baadhi ya TV box waweza kutumia modem direct
 
mimi tv yangu ni Samsung smart tv,je nitafanyaje ili iwe na operating system ya android ili niweze kutumia stick tv?
Kwa kuwa TV yako ni "smart Tv"
- Haihitaj kuwa na Android Tv box
- Je nani anapaswa kutumia android Tv box? - Ni wale wenye TV za kawaida. Ambazo haziwezi kuunganishwa kwenye internet, hivyo wanahitaj TV box ili kutumia aplication tofauti tofauti kama tuwekazo kwenye simu. Yaani kuifanya TV ya kawaida iwe smart TV

Je nin unatakiwa kufanya kwenye TV yako "J52xx Series"
- Jifunze jinsi gani ya kuiunga kwenye internet kwa wireless - sababu ina Built-in Wi-Fi adapter.
- Jifunze jinsi gani ya kufanya "Screen Mirroring" kutokea kwenye smartphone yako.
- Jifunze jinsi gani ya ku add au kuondoa application katika smart TV yako -
Tumia youtube na forums mbalimbali mtandaoni kujifunza haya.

Karibu
 
Mkuu unavyosema kuwa sihitaji kuwa na android box unamaanisha kuwa sihitaji kuwa na stick tv?
 
Mkuu unavyosema kuwa sihitaji kuwa na android box unamaanisha kuwa sihitaji kuwa na stick tv?
Sababu kile kinachofanyika kwenye TV stick, hata Smart TV yako pia inaweza kufanya.
Ndio sababu nimeshauri vitu gani unatakiwa kujifunza ili uifurahie "smart TV" yako.
 
Asante mkuu!!..........hii kitu huwa ina kazi gani mkuu?[emoji116]
 

Attachments

  • IMG_20170421_125726_420.JPG
    12.5 KB · Views: 93
Asante mkuu!!..........hii kitu huwa ina kazi gani mkuu?[emoji116]
Hii cable inaitwa Smartphone Headset to PC Adapter

- Ambapo utachomeka headphone/ earphone yenye mic katika hiyo adaptor, kisha hizo pini mbili za adaptor unachomeka kwenye matundu mawili yaliyopo kwenye PC.
- Sababu headphone maalum kwa ajiri ya PC huwa na pini mbili wakati headphone za simu zina pini moja.


Pia zipo na hizi cable ( PC Headphone to Smart phone Adapter Cable)

- Utatumia cable hii iwapo unataka kutumia headphone za PC zile zenye pini mbili kwenye simu yako.
 
Android Tv Box, naomba kufahamu kuhusu namna ya kuifunga Kwny tv yangu ya Samsung series 5/6? Shukrani
 
Mkuu tafadhali naomba msaada,smart tv yangu inashindwa kucheza muziki niliyoidownload kutoka youtube ambayo ipo kwenye flash disc nichomekapo kwenye usb port ya hiyo tv!!.....naomba nieleze code sahihi za videos,sauti pamoja na format inayoweza kukubali kucheza kwenye tv.Pia naomba niambie software nzuri ya window ambayo inaweza kuconvert hizo video ili ziende kwenye format inayoweza kukubali kucheza kwenye hiyo tv yangu!!

Shukrani
 
Bila shaka video uliyodownload youtube ipo kwenye format ya .avi cha muhimu itakubid uiconvert iwe kwenye format ya mp4 ndo itaweza kucheza.Unaweza kudownload total video converter kufanya hlo jamb😵ption ya pili km una smart tv ikonnect kwenye internet uinstall vlc kisha uifanye kama default video player kwenye tv yako.Natumaini umenielewa.
 
niliiconvert kwenda kwenye mp4 ila ilikataa kucheza pia!......naomba nifafanulie namna ya kudownload vlc kwenye smart tv please!!
 
niliiconvert kwenda kwenye mp4 ila ilikataa kucheza pia!......naomba nifafanulie namna ya kudownload vlc kwenye smart tv please!!
Mp4 format haiwezi kukataa kucheza kwenye smart tv,je hyo video ukiplay kwenye pc inacheza? Na kwenye kuplay kama mtumiaj wa windows tumia windows media player kwan huwa haisupport .avi
 
Mp4 format haiwezi kukataa kucheza kwenye smart tv,je hyo video ukiplay kwenye pc inacheza? Na kwenye kuplay kama mtumiaj wa windows tumia windows media player kwan huwa haisupport .avi
Kwenye pc inacheza vizuri tu ila kwenye tv haichezi!!......najaribu kudownload vlc kwenye hii tv ila hakuna version kwa ajili ya tv,kuna version kwa ajili ya window,android,mac, e.t.c basi!!
 
Kwenye pc inacheza vizuri tu ila kwenye tv haichezi!!......najaribu kudownload vlc kwenye hii tv ila hakuna version kwa ajili ya tv,kuna version kwa ajili ya window,android,mac, e.t.c basi!!
Smart tv yako kwan haitumii os ya android?
 
mkuu ujue sometime movie kuwa mp4 au avi haisaidii sababu haya ni macontainer tu bila kutumia codec husika utakwama hasa kwa vifaa ambavyo sio windows/android.

google sasa hivi wanatumia sana codecs zao wennyewe za vp8/vp8 hivyo pengine hizo movie zimekuwa compressed na codecs hizo.

samsung smart tv uhakika inakubali mp4 ambayo imekuwa compressed na x264 na audio za AAC.

cha kufanya hapo download video converter hii

http://download.freemake.net/FreemakeOriginals2/FreemakeVideoConverterFull.exe

kisha convert hizo video ziende mp4

then eka kwenye flash test kwenye tv yako
 
Daaah jf ni bonge la darasa...
Ila bado mmeniacha sielewi niulize nini, mnamaanisha kuangalia TV channel kupitia intenet ambayo umeicconect na sim au hadi upate television inayotumia internet????
Najua ntawakwaza wengine kwa hilo swali ila samahani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…