Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
- Haiwekewi bundle la internet..hiyo stick tv huwa inawekwaje bundle la internet?ina line kama ya simu au?
- Haina mahala pa kuweka laini
Android Tv box
- zinapokea internet toka kifaa kingine
- Mfano waweza kuiunga TV box kwenye internet kwa kutumia
1. Wireless - hapa chanzo cha Wi-Fi chaweza kuwa simu yako au wireless router
2. Waweza kutumia LAN cable - Iwapo ina tundu husika
3. Na baadhi ya TV box waweza kutumia modem direct