Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
OK thank you kaka...unaweza nitengenezea zip yake niiweke kwa kodi ingawa link hata kwa MX player haifanyi Kazi. Hata kwa browser haifanyi Kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OK thank you kaka...unaweza nitengenezea zip yake niiweke kwa kodi ingawa link hata kwa MX player haifanyi Kazi. Hata kwa browser haifanyi Kazi.
mi nimeplay link moja ina chanell hata hawaongei kiswahili/kingereza unataka ya nini?
Niliona hapo neno star TV ndo nikawa naitaka niiweke kwa Kodi...maana azam two yenyewe nnayo tayari.
Pia nataka kufahamu zile link anazotoaga husham za kwenye IPTV app nawezaje ziweka kwa kodi kwa huuu mfumo wa playlist
yap unaweza una sample?
Mkuu nina Samsung Ace 5830i ni android gingerbread kuupgrade nishida.
Niliweka Cust ROM ya jerry bean nimeshindwa install kodi pia hata lazy iptv na mabdro zinadai hadi simu iwe android 4.2 kupanda juu.
Nilikuwa namba mnisaidie jinsi ya kuplay m3u file maana mxplayer haikubali hadi niweke link manually.
Mnisaidie maana siyo rahisi kuzikariri link za online tv zote CC: Chief-Mkwawa , Watu8 Njunwa Wamavoko

Suluhisho ni kuweka app ya streamDream then utakuwa unaingiza link na kuplay.
StreamDream inacheza m3u file fresh tu ila tatizo no hizo simu ukiweka hill file kwenye SD card inajiscan kulifuta hill file.
So ni kuweka link na kuplay hakuna namna
View attachment 296539
rtmp://uni2rtmp.tulix.tv:1935/startv/myStream.sdpMkuuuu naomba hio link ya star TV
rtmp://uni2rtmp.tulix.tv:1935/startv/myStream.sdp
Kuna washikaji wanauza add ons bei chee tu..hazisumbui hata kidogo.
Thanks
hio hapo
Zinaitwaje