Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

sikumbuki vizuri ila dogo flani hivi wakishua ana uncle yake yupo nje huko ndo anamtumiaga addons kweny email...hazisumbuagi hizo addons

mwisho kama unaweza cheza na iptvstalker utakua umemalza mchezo wote.

Niliwahi jaribu kuinstall hio stalker. Hebu nielezee kidogo ili nami nimalize huo mchezo mkuu.
Tafadhali.
 
Samahani mkuu Chief-Mkwawa

Natumia Huawei Y 530 nifanye je ili niweze kupata hii huduma ya TV Online kwenye simu yangu.

Natanguliza shukrani
 
Last edited by a moderator:
Niliwahi jaribu kuinstall hio stalker. Hebu nielezee kidogo ili nami nimalize huo mchezo mkuu.
Tafadhali.
IPTV Stalker ilishakua ya Kulipia unaitaji MAC ADRESS uweze kuitumia

Angalia Utube kuna Njia ya kui Bypass
 
mkuu mi nine download hiyo zip Mara ikatokea ujumbe wa dismis. msaada mkuu. Nina kodi na Simu yangu ni tecno m3

ulivyodownload hilo zip ukalifanya nini hadi ukaja huo ujumbe
 
Mkuu hyo stalker wana change Mac kila siku..itabidi uwe unachek updates YouTube kila siku...

Pia kuna megaiptv nzur nayo..ila usishangae leo unachek channel kesho unakuta chenga tu...chek baadhi ya channels zao hizi apa.
 

Attachments

  • 1444490636030.jpg
    1444490636030.jpg
    48.3 KB · Views: 311
  • 1444490649494.jpg
    1444490649494.jpg
    55.2 KB · Views: 296
  • 1444490664486.jpg
    1444490664486.jpg
    48.7 KB · Views: 299
  • 1444490676961.jpg
    1444490676961.jpg
    61.9 KB · Views: 282
  • 1444490690073.jpg
    1444490690073.jpg
    55.8 KB · Views: 270
  • 1444490703068.jpg
    1444490703068.jpg
    68.9 KB · Views: 272
mkuu mi nikiifungua naletewa ujumbe huu " wowza media sever 3 monthly edition 3.1.1 build 1479

natumia app ya stream dream Chief mkwawa
shaffin

ngoja wanaoitumia watakuja kukujibu, sijawahi itumia hio app na sina kifaa cha kutestia hapa
 
Last edited by a moderator:
Chief-Mkwawa thanx nimeweza kuangalia hizi tv ulizoziweka humu but sijapata tv za africa mashariki plzzz msaada wa tv za kibongo.

kaka zimeshatengenezwa post za nyuma, wait nikipata nafasi nitazikusanya tena
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom