Kila unalotakiwa kujua kuhusu IPTV (kuangalia TV kwa kutumia internet)

step ni hizo hizo kaka, labda hapo kwenye kulocate file na kuli extract itabidi uwe na file manager kama es file explorer
Imekubali kwenye android bila hata ku extract, asante sana.
Lakni nijuze umetumia njia ipi hata kwa baadae nifanye mwenyewe nitengeze playlist za m3u tu kwa TV zile nazohitaji tu.
 
tengeneza file la text kawaida paste link zako unazotaka halafu rename extension yake toka .txt ije .strm

hapo kurename .txt kuja .strm panaweza sumbua kidogo mpaka uwe na file manager nzuri. ila nafkiri es file explorer ina rename extension
 
Asante chief.
 
Naomba kufahamu hizo links unaziingizaje kwenye kodi kwa sisi tunaotumia simu naomba step kwa step kufahamu.
 
nimeziweka kwenye kodi zinafanya kazi vizuri tu japo quality si kubwa sana ila server ni nzuri hazinati nati

VoORKAK.jpg

WLinGqS.jpg

pNGY6V8.jpg

jinsi ya kuzieka kwenye kodi yako

1. download attachment hapo chini
2.ikiwa kwenye pc right click then extract
3. litatokea folder la tv ndani utakuta file la tv.strm

fungua kodi then fuata njia hizi
nenda video then files then add videos, kutatokea windows click browse halafu navigate hadi lilipo folder la tv then click ok utaona neno tv ukiliclick zitatokea tv zote.
Ubarikiwe @chiefmkwawa
 
Kwenye MX player unaziingizia wapi ndio maana nikasema step kwa step
 
Kwenye mx player unaziingizia wapi ndio maana nikasema maelekezo yawe step kwa step
 
Ukiifungua mx player unazikuta video zako halafu kulia kwako juu ukifungua pale unakutana na neno netwerk stream ingia pale na ziingize hizo link utangalia fresh ila usikosee hata herufi moja
 
tengeneza file la text kawaida paste link zako unazotaka halafu rename extension yake toka .txt ije .strm

hapo kurename .txt kuja .strm panaweza sumbua kidogo mpaka uwe na file manager nzuri. ila nafkiri es file explorer ina rename extension
Hili file la text unatengenezea kupitia simu au pc? Application gani natumia kutengenezea?
 
Kwangu imekataa kwenye MX player hata kwenye kodi kwa kutumia playlist loader imekataa
 
Back
Top Bottom