William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Yule Askofu wa KKKT Stephen Munga na Kilango wote wanampa sifa za kushughulikia mafisadi lakini ukweli ni kwamba hajafanya chochote.
Mkuu Mag3 hebu soma hapa chini uone kuwa sio kweli kwamba wananchi wote wanaamini maneno yenu against mama Kilango,.............
Mkuu FMES,
Watetezi wa Mkapa humu jamvini wanafanya hivyo kwa kusisitiza mazuri aliyofanya Mkapa. Hata hivyo mazuri aliyofanya yanafunikwa na kiwango cha ufisadi uliokubuhu na uliotawala wakati wa utawala wake. Hivyo wengine tunatoa hukumu yake kulingana na uzito huo wa mabaya lakini kamwe hatufuti lolote jema alilotenda kama lipo.
Vivyo hivyo kwa Mama Kilango na ushujaa aliouonyesha kwa kutoa kauli nzito na kali kama alivyofanya. Lakini pamoja na hilo, hicho kitendo chake hakifuti dhambi ya kumtetea kiongozi ambaye hata kwa akili za kawaida anaboronga. Ninajua kwa hili unakubaliana na Mama Kilango na hiyo ni haki yako ambayo huwezi ukanyang'anywa na yeyote yule. Inawezakana wote mnasukumwa kufanya hilo kwa sababu tofauti, lakini ni wazi malengo ni kumpalilia kiongozi ambaye kwa viwango vyetu wengine, ameshindwa kazi. Hiyo nayo ni haki yetu usioweza kutunyang'anya.
Bahati mbaya ni kuwa wakati mwingine tuko tayari kulinda misimamo yetu hata kwa kuingiza mipasho na hoja za nguvu. Hata shujaa kwenye mapambano huweza kujikwaa kwa sababu ni binadamu. Tofauti yangu na wewe iko hapa - mimi nasema amejikwaa, wewe unakataa hawezi kujikwaa.
Ni kweli na ni ukweli usiopingingika, Anne ana haki ya kumsifia JK kwani hiyo ni njia ya yeye kujiprotect ilihali anampiga kijembe!kwa maana nyingine Anne anampaka JK mafuta kwa mgongo wa chupa...
Tofauti yangu na wewe iko hapa - mimi nasema amejikwaa, wewe unakataa hawezi kujikwaa.
1. Quote:
Originally Posted by sokomoko
Ni kweli na ni ukweli usiopingingika, Anne ana haki ya kumsifia JK kwani hiyo ni njia ya yeye kujiprotect ilihali anampiga kijembe!kwa maana nyingine Anne anampaka JK mafuta kwa mgongo wa chupa...
2. Quote: Kuhani
Umetoa definition ya mnafiki, msanii.
Kilango apasua jipu
2008-07-17 12:07:12
Na Victor Kwayu, PST, Same
.......
``Rais wa nchi ameonyesha kukerwa na hali hii ya vitendo vya wazi kwa baadhi ya viongozi... hatua hiyo inatupa moyo kwa sisi wabunge kuendelea na mapambano haya kwa ajili ya kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania.``
SOURCE: Nipashe
``Rais wa nchi ameonyesha kukerwa na hali hii ya vitendo vya wazi kwa baadhi ya viongozi... hatua hiyo inatupa moyo kwa sisi wabunge kuendelea na mapambano haya kwa ajili ya kuleta maisha bora kwa kila Mtanzania.``
FMES mimi hapo (highlighted) ndipo penye utata na naamini mama amejikwaa kidogo sasa mwenzangu nakuomba nitafsirie ulivyofahamu....Mama Kilango anafanya kazi nzuri sana lakini atpojikwaa ni muhimu kumkosoa....usisahau kuwa yeye ni binadamu.
]Tumeshaona makosa haya ya viongozi kuwa tuna wapa majisifa na hata wakti wa kikosea madhara yake yanakuwa mabaya hapo baadaye[/SIZE
...... ndipo ninasema kuwa wewe na wenzako hamna hoja, ila mna chuki binafsi,
Tifa letu haliwezi kuendelezwa na chuki ziszokuwa na msingi, kama una beef naye ni kusema tu upewe nafasi ya kuongea naye muyamalize, lakini kwa haya unayofanya hapa ni waste of time na humsaidii mwananchi wa kawaida anayetaka kujua ukweli wa viongozi wake, kwani huwezi gfananisha Mama kilango na Mtikila!
Ahsante Mkuu!
Quote:- Mwanatanu/Kuhani
Na ni hatari sana taifa letu kuongoizwa na watu kama wewe na wenzako, maana asiyekubalina na maoni yenu kwa taifa basi ni ana chuki binafsi
KONA YA KARUGENDO: Mama Socrates wa Tanzania Padri Privatus Karugendo Julai 2, 2008
Quote:- Karugendo
"Panahitajika watu wachache wa kusimama na kutetea ukweli. Utafiti wa haraka unaonyesha kwamba idadi kubwa ya Watanzania inashawishiwa na mawazo ya watu kama kina Anne Kilango, kuliko ya Chitalilo na Mzindakaya."
Quote:- Ndimara
Hii ni mara ya kwanza kwa mbunge kuonya serikali kwa ukali kuhusu ufisadi. Lakini Anne anataja matukio mawili ya jumla ya Sh. 349. Kama kiasi hicho kitafanya bungeni pasitoshe, basi yakitajwa makubwa zaidi baadhi ya wabunge watakimbia mijadala; baadhi watazimia kwa kukosa pumzi; wengine wataaga dunia na bunge litalipuka kwa moto.
6. Kuweni na akina Anne 10 tu. Waiambie serikali kuwa bilioni 40 za kununua ndege ya rais zilitumika vibaya na waishinikize iiuze! Hakika bungeni hapatatosha.
Mkuu tizama maoni ya wananchi ambayo ni tofauti na yako, lakini tuko nao ukurasa mmoja! Kwenye ukweli uongo hujitenga tena mbali sana ona mwenyewe mkuu!
Hivi karibuni nilikuwa kwenye mitaa huko majuu na mama Kilango, yaani tumetembea kama block tatu hivi kuna kundi la watu linatufuata nyuma kwa muda mrefu, kuja kugeuka ni wabongo wakasema walijua kuwa ni yeye mama Kilango, wanaomba angalau kupiga picha naye,
siku hizi hata kwenda sokoni bongo hawezi tena maana akiingia tu wananchi huanza kumzunguka kwa furaha, mkuu wangu acha tu! sisi tunamuombea tu Mungu amlinde an aednelee na ushujaa wa taifa alionao sasa, maana tunauhitaji sasa kuliko anytime in the past!
hiyo nuru kwako itabakia giza totoro
Jakaya Mrisho Kikwete Ni Rais, Narudia Wakuu Wangu Kuwa Jakaya Mrisho Kikwete Ni Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Yeyote Yule Ambaye Si Mke Wake Au Babake Hana Nafasi Ya Kumuita Jakaya Au Kikwete Always Ni Mh.rais Au Ndg.rais, Hiyo Ni Standard Ya Kidunia Ambayo Hata Mwenyezi Mungu Ameibariki.
Conclusion Yangu: Awe Kilango, Lipumba,mrema,rostam,lowasa,malecela,mkapa,mwinyi,mama Mariah Na Sisi Sote , Ni Wajibu Wetu Kumheshimu Rais Wetu, Ni Wajibu Wetu Kumsaidia Kiustaarabu Rais Wetu,kumshauri Kwa Heshima Rais Wetu,kumfanyia Kazi Kwa Adabu Rais Wetu, Kumheshimu,kumuamini,kumsikiliza Na Zaidi Kumuimarisha Rais Wetu. Hivyo Si Hekima Wala Nidhamu Kumdhalilisha Rais Just B'coz Kuna Rushwa Imetapakaa Nchini Mwake,yeye Ndiye Bora Ktk Miaka 5 Hii Tuliyompa,tusikufuru Jitihada Zake Na Wale Wanaomsaidia Kupambana Ktk Vita Nyingi Za Kifisadi Na Umaskini Nchini. Kilango Anaonyesha Wajibu Wake Ktk Kutii Mamlaka Alizopewa Ndg.rais Jakaya Mrisho Kikwete
Hivi karibuni nilikuwa kwenye mitaa huko majuu na mama Kilango, yaani tumetembea kama block tatu hivi kuna kundi la watu linatufuata nyuma kwa muda mrefu, kuja kugeuka ni wabongo wakasema walijua kuwa ni yeye mama Kilango, wanaomba angalau kupiga picha naye......
]Sasa mwenzetu kama una u karibu na mama ni jambo zuri ....lakini JF watu wengi wanakemea ile nidhamu ya kubebana....tumechoka nayo........[/SIZE