Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii mkipigana Magu hana muda wa kusuluhisha yeye anaenda Uganda na Rwanda kusainisha mradi wa SGR na kuwaacha wafu wazikane! PEV 2007 Moi na familia yake na other wealthy walijisitiri Arusha Ngurdoto kama refugees. So u can guess what will the hotel owners around Arusha be wishing...?[emoji23]
Mpigane msipigane hainihusu ila sitataka Rais wangu apoteze muda na ushenzi wenu unaletwa na ukabila. Nitapenda kama mtapigana muachwe ili muonje machungu yake. Sitataka kabisa Tanzania iingilie maana tuna mengi ya kufanya. IGAD will wear those shoes.Hakuna vita itakayotokea Kenya. Kutakuwa na skirmishes kidogo sana kama zile zilizokuwa 2013. Uzuri ni kuwa, Rais wa sasa si yule Kibaki aliyependa kujificha wakati watu wafa. Ukabila ni laana inayoletwa na wanasiasa wanaotaka kujifaidi. Si jambo la wananchi. Niliona mmoja wenu akisema kuwa Kenya ikiwa na uchaguzi wa amani, basi uchumi wa Tanzania utadorora. Ingawa siamini kuwa watanzania wengi wana mioyo wa kuitakia Kenya mabaya, najua kuna wale ambao watafurahi sana.
Mpigane msipigane hainihusu ila sitataka Rais wangu apoteze muda na ushenzi wenu unaletwa na ukabila. Nitapenda kama mtapigana muachwe ili muonje machungu yake. Sitataka kabisa Tanzania iingilie maana tuna mengi ya kufanya. IGAD will wear those shoes.
Umeniskia na kama unaamini hamtapigana nn shida? Enda upige kura ungoje majibu...believe me JPM will never entervene the way stupid Kikuyus from Jubilee have been implicating him from Maina Kamanda n the likes of Kikuyu servants like Duale. Incase of infighting, I would rather want him to support Raila n make the prophecy true as u have always claimed.Anayesema haya ni yule hushinda Kenyan Forums. Hujawahi toa mada yoyote kwenye Jukwa la siasa. Pwahahahaha..... paid blogger; utafikisha lini quota ya matusi ndio ulipwe ijumaa?
Sio kila saa attention ina involve tanzania baba ur as irrelevant as it gets ....kaa lane yakoUmean those vipeperushi vimetokea Tz
Am not even talking about votesIs this where NASA is getting 10 Million votes? 7 Million Kisiis, 23 Million Kikuyus. Are you saying that Kikuyus are more than 50% of the population?
Lol how?Kenya mkishindwa kujiongoza Watz tutakuja kuwaongoza..Your full of big talk about unification but inside ur heaert mmejaa ukabila, shame on you. Mnaitia aibu East Africa kwa mahubiri yenu ya Ukikuyu, Uluo sijui na madudu gani.
We piga keleke.. Budget kubwa haimaanishi ndo uwezo wa jeshi..Lol how?
Na JWTZ?
The Amount Kenya Police spent last year Buying weapons is Greater than JWTZ budget
Usiingie Kenya ukijidai ww bingwa
Kama Somalia mumeogopa Kuongelea hata Mtawezana na Kenya??[emoji23][emoji23]
Dont make Kenya Make TZ its Bitch!!
Kila siku nagombana na Wakikuyu wakikutana wawili hata wakiwa group la watu kumi wasio Wakikuyu hu-switch to Kikuyu bila aibu.
Lol how?
Na JWTZ?
The Amount Kenya Police spent last year Buying weapons is Greater than JWTZ budget
Usiingie Kenya ukijidai ww bingwa
Kama Somalia mumeogopa Kuongelea hata Mtawezana na Kenya??[emoji23][emoji23]
Dont make Kenya Make TZ its Bitch!!
We piga keleke.. Budget kubwa haimaanishi ndo uwezo wa jeshi..