Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Jambo wote!
Leo sina mengi ya kusema, ni hivi. Ikiwa kuna jambo lolote akili mwako unajua ukilifanya utapata pesa. Lakini unaona aibu kuwa Watu watakuonaje au utadharaulika. Taikon Master kama mtaalamu wa Mindgame ninakuambia jambo hilohilo ndio litalokupa matokeo yatakayokushangaza.
Maisha ni kujaribu na kufanya jambo lilelile unaloamini litakupa matokeo chanya. Consistency.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam