Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Mara nyingi sisomi mada zako mana hua unaandika mada ndefu sana, hongera kwa kulitambua hilo kuwa una mengi ya kuandika.Leo sina mengi ya kusema
Mara nyingi sisomi mada zako mana hua unaandika mada ndefu sana, hongera kwa kulitambua hilo kuwa una mengi ya kuandika.
it means uoga wako ndio umaskini wako 🐒Jambo wote!
Leo sina mengi ya kusema, ni hivi. Ikiwa kuna jambo lolote akili mwako unajua ukilifanya utapata pesa. Lakini unaona aibu kuwa Watu watakuonaje au utadharaulika. Taikon Master kama mtaalamu wa Mindgame ninakuambia jambo hilohilo ndio litalokupa matokeo yatakayokushangaza.
Maisha ni kujaribu na kufanya jambo lilelile unaloamini litakupa matokeo chanya. Consistency.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
SAWA mkuu,ngoja nijaribu!!
it means uoga wako ndio umaskini wako 🐒
Hahaha😄
Ukiona hivyi ujue ujana ndio ninauaga.
na tena ujasiri na uthubutu wako ndio utajiri na mafanikio yako 🐒Methali hiyo imefaana na mada hii
Hahaha
na tena ujasiri wako ndio utajiri na mafanikio yako 🐒
Maoni mazuri ila tahadhari muhimu, hicho unachokionea qibu kiwe ni kitu halali.
Jilipue mkuuKuna kitu nakionea aibu tokea 2021, kimekuwa kama mzigo sasa kila siku nakiwaza
kujilipua ni kitu kigumu sanaJilipue mkuu
Kuna kitu nakionea aibu tokea 2021, kimekuwa kama mzigo sasa kila siku nakiwaza