Kile kiapo cha damu hiki hapa

Katika kunuia hapo unataja jina la mtu unaetaka kumfanyia hivyo au ndio watu wanabadilishana hizo damu?.
 

Hapo unajilaani mwenyewe au?
 
Last edited by a moderator:
Sasa hiyo love spell hadi uandike maandishi yote hayo si umemwaga damu nusu ndoo
 
Ndo maana limbwata ni uchafu hizo mix mpk menstrual blood hlf mtu anawekewa kwenye chakula hatareee
 
Soma prescription kwenye post zile kama zimepigwa picha. Kaka zetu wanalishwa uchafu hasa, ndo maana wanasahau mpk wazazi wao

daa ndio nimeiona sasa, si ile ambayo inakuwa mixed na roots of gander goose..
hii dunia basi tu tunaishi kwa neema za Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…