Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
'Valentina' Hali tena ndio inashika kasi
Aise... Basi mi niko nyuma ya wakati
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Valentina' Hali tena ndio inashika kasi
Kuna dunia ambayo kuna vitu vinaendelea Vale ukibahatika kuvijua....hali ni mbaya sana
Takupa full package usijali
Itakuwa hapahapa natumai takutag usijali
WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART
Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake
NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE
CC: witnessj chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu
Ndo maana limbwata ni uchafu hizo mix mpk menstrual blood hlf mtu anawekewa kwenye chakula hatareee
heee hee kumbe na hayo yapo... m mm huu uchafu sasa sio kabisa.
Soma prescription kwenye post zile kama zimepigwa picha. Kaka zetu wanalishwa uchafu hasa, ndo maana wanasahau mpk wazazi wao
Ndo maana limbwata ni uchafu hizo mix mpk menstrual blood hlf mtu anawekewa kwenye chakula hatareee