Hahaha hahaha... Shosti limbwata lazima limhusu.... Hicho kigari anatakiwa aki upgrade liwe Ligari... mshana jr hebu jisogeze huku... Halafu uje na limbwata lenye recipe rahisi sio kutaja vitu ambavyo havipatikani...
Mwaka huu nimetangaza hali ya hatari amu mpaka wengine wameanza kujirudisha kabla sijawafanyia hata limbwata... Cc Shark
Mambo ya MziziMkavu tutafute popo asiyekojoa mie sitaki....
Aweke recipe inayoeleweka tufanye mambo...
Mambo ya MziziMkavu tutafute popo asiyekojoa mie sitaki....
Aweke recipe inayoeleweka tufanye mambo...
Vingekuwa rahisi kupatikana jamani watu wangemalizana mjue....ila ukiwa mhitaji kweli vinapatikana mbona!?
Kati ya vitu navyoogopa kufanya Ni kuweka kiapo.
kama huniamini bora nilale mbele kuliko kuapa
Vingekuwa rahisi kupatikana jamani watu wangemalizana mjue....ila ukiwa mhitaji kweli vinapatikana mbona!?
Kweli kabisa kumbuka kilichomtomea puani Mfalme Herode kwa alipoapa kwa Binti yake!
Si sawa kabisa na kuto kuahidi ukiwa hauna Ahadi!
WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART
Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake
NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE
CC: witnessj chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu
Bibie amu nime kumi Ss siku nyingi mpenzi upo? Haya ngojea nikupe faida kidogo leo nimefurahi.Mambo ya MziziMkavu tutafute popo asiyekojoa mie sitaki....
Aweke recipe inayoeleweka tufanye mambo...
Bibie amu nime kumi Ss siku nyinmgi mpenzi upo? Haya ngojea nikupe faida kidogo leo nimefurahi.
KUMVUTA MPENZIKWA KUTUMIA MSHUMAA:
Hii ni mojawapo ya njia zakumvuta mpenzi au
kumrudisha mpenzi aliyetoroka au kuchukuliwa na
mtu.
Chukua Mshumaa Mweupe, chagua ule ambao
utayeyuka upesi kwa sababu utakapouwasha
unatakiwa uwe unauangalia mpaka umalizike,
usichukue mshumaa utakaowaka kwa masaa 24,
Hakikisha mshumaa unakuwa mnene.
Andaa sehemu utakapofanyia kazi ndani ya
chumba. Tandika kitambaa cheupe, andaa sehemu
nzuri ya kuweka mshumaa ili usianguke, na uweke
chochote kinachomuhusu huyo unayemtaka
umdhibiti akiwa mpenzi au bosi wako au yoyote
yule. Unaweza kuweka picha yake, nguo yake,
nywele zake, kucha, au kitu chake chochote
ambacho aidha amekivaa au amekishika.
Mshumaa utakaotumia unatakiwa uandikwe maneno
yafuatayo mara tatu, (3) Mapenzi yako yote yaje
kwangu Maandishi hayo uyaandike kwa kutumia
mwiba wa Mti wa Waridi au unaweza kutumia pini.
Kazi hii inatakiwa ifanyike usiku wa kuamkia
Ijumaa, kuanzia saa sita na dakika moja na
kuendelea, na imalizike kabla ya jua halijatoka.
Weka mshumaa kati kati ya kitamabaa cheupe na
uuwashe, Katika kipindi ambao mshumaa unawaka
unatakiwa uuangalie mshumaa huo huku ukisema
kwa sauti ndogo jinsi unavyotaka mapenzi kutoka
kwa huyo unayemfanyia kazi au namna
utakavyomdhibiti, useme unataka nini kwake. Awe
vipi kwako. baada ya nusu saa ya kazi hiyo ondoka
lala na uwasche mshumaa uwake wenyewe mpaka
utakapomalizika.
Mshumaa unapokwisha chukua mabaki yake na
uyafunge na kitambaa cheupe ambacho ulikikalia
wakati ukifanya kazi yako na uyahifadhi mabaki
hayo mahala salama ambapo mtu yoyote
hatayaona.
Baada ya hapo toka Nje, elekea Kaskazini na ita
jina la unayemkusudia mara saba (7) na urudi
ndani bila kuangalia nyuma.
Matokeo ya kazi hiyo ni kuwa utapata unachokitaka
kutoka kwa huyo uliyemkusudia bila kukosa,
Mapenzi yanaweza yakawa makubwa sana au
yakawa ya kawaida, ila wewe ridhika na mapenzi
yake na muonee huruma na uwe mkarimu kwake.
Ikiwa imetokea hapo baadae wewe ukawa hutaki
tena kuwa na huyo uliyemkusudia unaweza
ukavunja penzi hilo kwa njia rahisi tu, inategemea
na unavyotaka wewe, chukua yale mabaki ya
Mshumaa uliyoyahifadhi na uyachome moto, au
uyazike katika njia panda, au uyatupe katika
mfereji wa maji yanayokwenda au ndani ya shimo
la choo au jalalani na mapenzi yatawkisha.
Kumbuka ni wajibu wako kuyatupa hayo mabaki ya
Mishumaa kama ukiwa humtaki tena huyo mtu
kuliko kubakia nayo na kumtesa yeye
Ukiwa na Shida au Swali lolote usikose kunitafuta kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
Dua hiyo hata Mpenzi wako awe juu ya mbingu atakuja haraka iwezekanavyo ni hatari usifanye mchezo ni silaha kali sana bibie TATIANAAsante MziziMkavu Mimi na amu tumekupata barabara...
Labda uniambie tu hii inavuka Bahari?? Maana windo langu inabidi livuke bahari...
Dua hiyo hata Mpenzi wako awe juu ya mbingu atakuja haraka iwezekanavyo ni hatari usifanye mchezo ni silaha kali sana bibie TATIANA
Mimi nina swali kwa hiyo votambaa vyeupe viwe 2 kimoja cha kuwekea mshumaa katikati kingine cha mie kukalia??? TATIANA ile mishumaa ya kwa mengi inafaa?au ndo hiyo inayoyeyuka 24 hrs
Mhhhh shoga hayo maneno "mapenzi yake yote yaje kwangu "×3 unahisi yanaweza kuenea kwenye mshumaa????
kuna kitambaa cheupe cha kukalia wewe wakati unafanya hiyo Dua aka Maombi yako na kuna kitambaa cheupe kidogo kinakuwa chini ya mshumaa, mshumaa uwe na na kitu chake cha kukalia kisha chini ya kitu cha kukalia mshumaa ndio kiwepo kile kitambaa cheupe amuMimi nina swali kwa hiyo votambaa vyeupe viwe 2 kimoja cha kuwekea mshumaa katikati kingine cha mie kukalia??? TATIANA ile mishumaa ya kwa mengi inafaa?au ndo hiyo inayoyeyuka 24 hrs
kuna kitambaa cheupe cha kukalia wewe wakati unafanya hiyo Dua aka Maombi yako na kuna kitambaa cheupe kidogo kinakuwa chini ya mshumaa, mshumaa uwe na na kitu chake cha kukalia kisha chini ya kitu cha kukalia mshumaa ndio kiwepo kile kitambaa cheupe amu
Hiyo inafaa kabisa... Mi bado kitambaa tu... Kesho lazima niwe nacho.... Lazima tuweke heshima zaid mjini hapa
Nafanya nikiwa uchi ila nikiwa nimevaa khanga.
Ila hujanijibu maneno yote hayo ena mara 3 yataenea kwa mshumaa..
....mapenzi yake yoe yahamie kwangu....
Na majibu nayapata lini...
Shoga tukazane...tukifanikiwa weeee mtatukoma humu ndani