Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #101
Hahaha hahaha... Shosti limbwata lazima limhusu.... Hicho kigari anatakiwa aki upgrade liwe Ligari... mshana jr hebu jisogeze huku... Halafu uje na limbwata lenye recipe rahisi sio kutaja vitu ambavyo havipatikani...
Mwaka huu nimetangaza hali ya hatari amu mpaka wengine wameanza kujirudisha kabla sijawafanyia hata limbwata... Cc Shark
Mambo ya MziziMkavu tutafute popo asiyekojoa mie sitaki....
Aweke recipe inayoeleweka tufanye mambo...
Vingekuwa rahisi kupatikana jamani watu wangemalizana mjue....ila ukiwa mhitaji kweli vinapatikana mbona!?
Last edited by a moderator: