sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Aisee sintomfanyia mme wangu hivyo kama unanipenda nipende bila nguvu ya dawa ikishaexpire ni balaa
Ha haa....
Wewe unafaaa saana....hauna wivu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee sintomfanyia mme wangu hivyo kama unanipenda nipende bila nguvu ya dawa ikishaexpire ni balaa
Ha haa....
Wewe unafaaa saana....hauna wivu..
Nna wivu balaaa tena kimyakimya lakin sitak kumshirisha shetani kwenye penzi kizembe hivyo
Ahahaaa...
Kwa hiyo unamwacha aruke rukee
Kama mtu anajielewa atakuheshimu🙄
Ahaa haa sasa si kuna zile frend gem....no offence
Mmmmh hzo one nyt stand ndo za kubeba magonjwa
Hamna zile zinakuwaga nomaa..huwa nzuri balaa..pale hamna magonjwa..kwa vile mnaaminiana..
mbona minshapiga sana ivi viapo alafu nikishakula mzigo nakimbia,naniko salama tu
WRITTEN IN BLOOD
I act this spell upon you
From my whole heart
Wishing you to never rest
No eat no sleep the rest part of your life
I hope your will waste away
And I hope you will never spend another penny I ought to have
WISHING THIS FROM MY WHOLE HEART
Haya ni maneno mabaya mno! Ni spell mbaya kabisa
Kinachofanyika:~~~
Mwenye kutamka/kunuiya hii Laana hujikata kidogo na kukinga damu kiasi kisha kuchukua karatasi na Kijiti na kuandika haya maneno kwa kutumia wino wa damu
Kisha anaweza kufanya yafuatayo
-kuloweka ile karatasi na kunywa ile mixer ya damu na maneno au
-kwenda kumwaga ile mixer njiapanda au
-kwenda kumwaga ile mixer mtoni au baharini au
Kuchoma moto ile karatasi
Kila kimoja hapo kina athari yake
NB: Kama wewe ni mshika dini si vema kujiapiza au kulipa visasi kwakuwa Mungu anajua na anaona kikubwa ni KUSAMEHE
CC: witnessj chrissleon lazalaza na wote waliokuwa na interest ya hiki kitu