Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Kafyekwa kijijiKwikwikwikwiiiiii
Naona kichaka kipo yanga ndio kafyekwa
Wacha weee hahahahahMbumbumbu wanaweweseka, hawatulii,
Wamefuzu kwenye mashindano ya akina mama ila hawana furaha
Waambie wachukue point zao za Ranking waongezee kutinga roboQmaaaaamae wamedifferintiate constant, tuliosoma adv. math na BAM tumeelewana hapo
Uki differentiate constant unapata....?[emoji1787]Qmaaaaamae wamedifferintiate constant, tuliosoma adv. math na BAM tumeelewana hapo
SifuriUki differentiate constant unapata....?[emoji1787]
Mbona nilisikia UTO watangia Robo final ya CAFCL kama Best Looser!!!Nasikia Mama Samia kaagiza point za Simba kesho wagawiwe Yanga waingie robo
Mnatuchanganya, wengine wanasema watachukua points zako kwenye Ranking watajazia kuingia roboMbona nilisikia UTO watangia Robo final ya CAFCL kama Best Looser!!!
Ehh Gusa achia ukanye.Kichaka kimekuwaje tena,?Au michongoma?Calculatator zitatuvusha robo na tunazitumia kufyeka hako ka kichaka
unapata ZEROUki differentiate constant unapata....?[emoji1787]
So confusing yaani!!! sasa tushike lipi??Mnatuchanganya, wengine wanasema watachukua points zako kwenye Ranking watajazia kuingia robo
Kuna mahali wanadanganywa kuwa wataingia robo kama 'best looser'🙄Waambie wachukue point zao za Ranking waongezee kutinga robo
Walifikiri kufika 5 bora katika ranking za CAF ni kunyanyua bakuli la supu ya kibudu.Kuna mahali wanadanganywa kuwa wataingia robo kama 'best looser'[emoji849]