Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Wydad anapambana na nani? Tp Mazembe anaendelea kupambabia nini? Yanga inajulikana wameshavuna alama 10 , wengine wameshafuzu robo na wameshavuna alama, sasa tukipiga hesabu za wakati uliopo kuna ubaya gani? Tunazungumzia alama zilizopatikana mpaka sasa, tunafahamu bado kuna uwezekano wa baadhi ya timu kuongeza alama zaidi, mfano Yanga akifuzu robo atavuna alama 15, akienda nusu atavuna 20 nk. Sasa wewe usichokielewa hapo ni kipi?
Sasa wewe piga hesabu za hao walioumaliza mwendo sio timu inayoendelea na mashindano,
Wewe unakazana tu Simba anapoint kadhaa sawa ila bado anaendelea na mashindano.

Afu jambo la ajabu zaidi Wydad, Simba, Tp Mazembe unaziuwiananisha na Yanga ambayo hata bado hajafuzu robo fainali, ko hizo point unazozinadi humu Yanga haina.

Wake up Dude!... Tuliza kimuhemuhe upe muda nafasi.
 
Unaelewa unachokiandika? Haina hizo alama kivipi? Yanga hata asipofuzu atamaliza nafasi ya tatu ambayo ni alama 2, hivyo ni alama 5×2=10 anakuwa na point 34. 5imba akiwa bingwa cafcc anavuna alama 20 anakuwa na alama 58. Hayo ni mahesabu marahisi kabisa yasiyohitaji akiki nyingi kuelewa
 
Sasa point 39 za Yanga ulikua unazitoa wapi wewe.
Upe muda nafasi yake.
 
Mpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking.

Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba!

Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake tena ni mpaka afike nusu fainali ya shirikisho vinginevyo ataendeleza kuwa chini ya Yanga rasmi!

Weka vizuri hii hesabu maana mimi imenichanganya. Au kuna mechi bado haijachezwa? 😀 😀 😀
 
Mpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking.

Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba!

Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake tena ni mpaka afike nusu fainali ya shirikisho vinginevyo ataendeleza kuwa chini ya Yanga rasmi!
Topolo , mpira hauchezwi kwa maneno . Ni vigumu timu ya vibabu kucheza robofainali ya CAFCL .
 
Mpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking.

Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba!

Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake tena ni mpaka afike nusu fainali ya shirikisho vinginevyo ataendeleza kuwa chini ya Yanga rasmi!
1737213836335.png
 
Back
Top Bottom