John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
Kwani nyie utopolo sahv mna furaha?Mbumbumbu wanaweweseka, hawatulii,
Wamefuzu kwenye mashindano ya akina mama ila hawana furaha
Akuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
Ukirejea andiko langu utakuwa na majibu sahihi,,msiwe mnalinganisha mbingu na ardhi,,nimewapa home work ndogo tu kaleteni medali ya ilo kombe kwa maana yanga keshafika on top ya icho kikombe kama mtaweza achili mbali kuvaa ata medali ya mshindi wa pili!Vp mnafyeka lini kile kichaka?
Kwani hicho kichaka mmekifeka?.Pointi zilizowafanya muwe kwenye ranking mmepata kwenye kombe lipi?Au mlipokuwa mnashiriki mlikataa hizo pointi kwa sababu sio Champions League.Simba kaingia robo fainali ya hayo mnayoyaita mashindano ya wanaume mara 4 ndani ya miaka 7.Gongowazi mmefika robo fainali ya Champions League mara ngapi katika miaka 25?Ukirejea andiko langu utakuwa na majibu sahihi,,msiwe mnalinganisha mbingu na ardhi,,nimewapa home work ndogo tu kaleteni medali ya ilo kombe kwa maana yanga keshafika on top ya icho kikombe kama mtaweza achili mbali kuvaa ata medali ya mshindi wa pili!
Ndani ya miaka 7 mlileta nini kwakuishia robo? Yanga anacho kitu mkononi alichokileta ndani ya miaka 3 wewe nitajie ulichokileta? Yanga kavaa medali ya mshindi wa pili na kafika fainali wewe nitajie iyo robo kwa miaka 7 ulileta nini?Kwani hicho kichaka mmekifeka?.Pointi zilizowafanya muwe kwenye ranking mmepata kwenye kombe lipi?Au mlipokuwa mnashiriki mlikataa hizo pointi kwa sababu sio Champions League.Simba kaingia robo fainali ya hayo mnayoyaita mashindano ya wanaume mara 4 ndani ya miaka 7.Gongowazi mmefika robo fainali ya Champions League mara ngapi katika miaka 25?
Ndani ya miaka 7 mlileta nini kwakuishia robo? Yanga anacho kitu mkononi alichokileta ndani ya miaka 3 wewe nitajie ulichokileta? Yanga kavaa medali ya mshindi wa pili na kafika fainali wewe nitajie iyo robo kwa miaka 7 ulileta nini?
Na kibaya zaidi unaishia robo ata kwenye michuano dhaifu kama iyo na bado unatamba eti tumecheza robo kwa miaka 7,,mwenzako kakaa kwenye ubora ndani ya misimu 3 kakanyaga fainali,,na sio icho tu kakusanya point za kutosha ndani ya misimu 3 ya ubora wake kutoka nafasi ya 78 kwenye rank za caf mpaka kaingia 10 Bora ya caf kwa sasa na point zake 34!
Mbona Kuna namna nyingine ya kujifariji?Akuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
Ndani ya miaka 7 mlileta nini kwakuishia robo? Yanga anacho kitu mkononi alichokileta ndani ya miaka 3 wewe nitajie ulichokileta? Yanga kavaa medali ya mshindi wa pili na kafika fainali wewe nitajie iyo robo kwa miaka 7 ulileta nini?
Na kibaya zaidi unaishia robo ata kwenye michuano dhaifu kama iyo na bado unatamba eti tumecheza robo kwa miaka 7,,mwenzako kakaa kwenye ubora ndani ya misimu 3 kakanyaga fainali,,na sio icho tu kakusanya point za kutosha ndani ya misimu 3 ya ubora wake kutoka nafasi ya 78 kwenye rank za caf mpaka kaingia 10 Bora ya caf kwa sasa na point zake 34!
Peace be upon you utopolomanCalculatator zitatuvusha robo na tunazitumia kufyeka hako ka kichaka
Uwezo wenu ni huku kwa mosepe Sasa kwenye medali mnazotamba nazo za michuano ya timu dhaifu...maana umekiri mwenyewe upo kwenye mashindano yanayoshirikisha timu ngumu 😂😂....simba huu Msimu cjui wa ngapi anafuzu kwenda robo michuano ya CAF na shirikisho...Sasa mpk mnashindwa kutoboa hatua ya makundi nawewe mwenyewe umekiri timu za huko ni ngumu basi muwepo mnashiriki kombe la mosepe tu basi mnatuaibisha na calculator zenuAkuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
Mjifunze kuwa na akili usiweke pembeni akili.Akuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
Kwani Yanga alikuwa anafyeka kichaka kipi?
Kichaka cha rankings za CAF. Alidhani kichaka kakuta ukuta wa zege. Imebidi atoke unyoya. Gusa achia tukanye.Kwani Yanga alikuwa anafyeka kichaka kipi?
Huko Simba tulishavuka miaka 32 iliyopita.Akuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
Neno kichaka hawalitaki tenaKichaka cha rankings za CAF. Alidhani kichaka kakuta ukuta wa zege. Imebidi atoke unyoya. Gusa achia tukanye.