Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Akuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
 
Vp mnafyeka lini kile kichaka?
 
Vp mnafyeka lini kile kichaka?
Ukirejea andiko langu utakuwa na majibu sahihi,,msiwe mnalinganisha mbingu na ardhi,,nimewapa home work ndogo tu kaleteni medali ya ilo kombe kwa maana yanga keshafika on top ya icho kikombe kama mtaweza achili mbali kuvaa ata medali ya mshindi wa pili!
 
Kwani hicho kichaka mmekifeka?.Pointi zilizowafanya muwe kwenye ranking mmepata kwenye kombe lipi?Au mlipokuwa mnashiriki mlikataa hizo pointi kwa sababu sio Champions League.Simba kaingia robo fainali ya hayo mnayoyaita mashindano ya wanaume mara 4 ndani ya miaka 7.Gongowazi mmefika robo fainali ya Champions League mara ngapi katika miaka 25?
 
Ndani ya miaka 7 mlileta nini kwakuishia robo? Yanga anacho kitu mkononi alichokileta ndani ya miaka 3 wewe nitajie ulichokileta? Yanga kavaa medali ya mshindi wa pili na kafika fainali wewe nitajie iyo robo kwa miaka 7 ulileta nini?
Na kibaya zaidi unaishia robo ata kwenye michuano dhaifu kama iyo na bado unatamba eti tumecheza robo kwa miaka 7,,mwenzako kakaa kwenye ubora ndani ya misimu 3 kakanyaga fainali,,na sio icho tu kakusanya point za kutosha ndani ya misimu 3 ya ubora wake kutoka nafasi ya 78 kwenye rank za caf mpaka kaingia 10 Bora ya caf kwa sasa na point zake 34!
 
Kichaka , Vipi Mmefanikiwa Kukifyeka.?
Hili ndo Swali..!

Kuvaa Medali, Watu Walizivaa 1993, ulikuwa hujazaliwa ! Uliza Wakubwa wako!
 
Akuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
Mbona Kuna namna nyingine ya kujifariji?
 
Ndani ya miaka 7 mlileta nini kwakuishia robo? Yanga anacho kitu mkononi alichokileta ndani ya miaka 3 wewe nitajie ulichokileta? Yanga kavaa medali ya mshindi wa pili na kafika fainali wewe nitajie iyo robo kwa miaka 7 ulileta nini?
Na kibaya zaidi unaishia robo ata kwenye michuano dhaifu kama iyo na bado unatamba eti tumecheza robo kwa miaka 7,,mwenzako kakaa kwenye ubora ndani ya misimu 3 kakanyaga fainali,,na sio icho tu kakusanya point za kutosha ndani ya misimu 3 ya ubora wake kutoka nafasi ya 78 kwenye rank za caf mpaka kaingia 10 Bora ya caf kwa sasa na point zake 34!

Nchi imepata nafasi ya kuingiza timu nne kwenye CAF tournament kwa kipindi hicho nandio mafanikio makubwa yanayoonekana kwa nchi
 
Akuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
Uwezo wenu ni huku kwa mosepe Sasa kwenye medali mnazotamba nazo za michuano ya timu dhaifu...maana umekiri mwenyewe upo kwenye mashindano yanayoshirikisha timu ngumu 😂😂....simba huu Msimu cjui wa ngapi anafuzu kwenda robo michuano ya CAF na shirikisho...Sasa mpk mnashindwa kutoboa hatua ya makundi nawewe mwenyewe umekiri timu za huko ni ngumu basi muwepo mnashiriki kombe la mosepe tu basi mnatuaibisha na calculator zenu
 
Akuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
Mjifunze kuwa na akili usiweke pembeni akili.

Wenye akili wamefanya hivi.
1.UEFA Champions League
2.UEFA Women's Champions League
3.UEFA Europa League
4.UEFA Conference League
5.UEFa Super cup

Punguzeni visingizio..Africa tunahitaji mipango yenye akili,Champions League na Confederation hazitoshi tunahitaji mashindano mengi ili team zote ziwe bora zaidi ya sasa zilivyo.

Ukitaka kuona tulivyo wabovu njoo mashindano ya Africa yale uone Nchi za kiarabu zinavyokuwa serious na maisha.

Njoo kumbe la Dunia kazi yetu ni kulalama Wazungu wanajipangia.
Hakuna ni akili kama hizi tulizo nazo.

Mpira bado sana huku kwetu hatuna akili na malengo.
 
fbc8aa95cf764e61acb8733b090c30a8.jpg
 
Kichaka vipi tena au imekuwa ukuta wa zege?Gongowazi hawana hamu.Walifikiri ni kuweka barafu kwenye jua na mara paap inayeyuka.Sasa kelele za rankings hatuwezi kuzisikia tena mpaka msimu ujao.
 
Akuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
Huko Simba tulishavuka miaka 32 iliyopita.
 
Back
Top Bottom