Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Badilisha heading basi. Chura mkubwa wee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Chezea wildfire. Endeleeni kufukuza kivuli.
 
Uzi wako unaongelea kufyeka kichaka cha CAF ranking lakini baada kushindwa kufikia malengo sasa umehamia kwenye medali.
Fungua uzi mwingine tujadili medali za kombe la shirikisho, Kichaka kimewashinda.
 
Maneno ya mkosaji pyeeeee
Sizitaki mbichi hizo
Mdomo kimyaaaaa
 


HAUNA KAZI YA KUFANYA???????

UNAWAZA SIMBA NA YANGA TU.

SHAME
 
Ila huu uzi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: BRN
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ