mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Na Calculator 😂😂Hongera kwa kufyeka kichaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Calculator 😂😂Hongera kwa kufyeka kichaka
Badilisha heading basi. Chura mkubwa wee😂😂😂.Ukirejea andiko langu utakuwa na majibu sahihi,,msiwe mnalinganisha mbingu na ardhi,,nimewapa home work ndogo tu kaleteni medali ya ilo kombe kwa maana yanga keshafika on top ya icho kikombe kama mtaweza achili mbali kuvaa ata medali ya mshindi wa pili!
Uzi wako unaongelea kufyeka kichaka cha CAF ranking lakini baada kushindwa kufikia malengo sasa umehamia kwenye medali.Ndani ya miaka 7 mlileta nini kwakuishia robo? Yanga anacho kitu mkononi alichokileta ndani ya miaka 3 wewe nitajie ulichokileta? Yanga kavaa medali ya mshindi wa pili na kafika fainali wewe nitajie iyo robo kwa miaka 7 ulileta nini?
Na kibaya zaidi unaishia robo ata kwenye michuano dhaifu kama iyo na bado unatamba eti tumecheza robo kwa miaka 7,,mwenzako kakaa kwenye ubora ndani ya misimu 3 kakanyaga fainali,,na sio icho tu kakusanya point za kutosha ndani ya misimu 3 ya ubora wake kutoka nafasi ya 78 kwenye rank za caf mpaka kaingia 10 Bora ya caf kwa sasa na point zake 34!
Maneno ya mkosaji pyeeeeeAkuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
Akuna mbumbumbu yeyote anaweza kumcheka yanga otherwise awe ajitambui,,yanga kacheza klabu bingwa michuano inayoshirikisha timu ngumu zinazojielewa uwezi kulinganisha na timu inayoshiriki kikombe cha Asante Mosepe!
Kikombe icho icho cha Asante Mosepe yanga kakanyaga mpaka fainali na medali anazo za mshindi wa pili sasa mbumbumbu unapata wapi nguvu za kuicheka yanga na kufurahia wewe kwenda robo?
Yanga alienda mpaka fainali Tena kwa swaga na Wala akuwa na muda wa kulinga!
Kama kuvaa medali ya mshindi wa pili ni rahisi basi nendeni tuone kama ata kuisogelea mtaisogelea licha ya timu dhaifu kujaa uko kwenye kikombe cha Asante Mosepe cup!
Wanaume wamepambana na wanaume wenzao ni sawa na kushiriki michuano ya daraja la nne alafu uanze kujiweka kwenye nafasi sawa na Wanaoshiriki ligi kuu utakuwa na walakini kichwani mwako,,ubora wa timu za daraja la nne utalinganisha na ubora wa timu za ligi kuu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]HAUNA KAZI YA KUFANYA???????
UNAWAZA SIMBA NA YANGA TU.
SHAME
Hii picha ingawa niliiweka humu, inahuzunisha sana
Badala ya kufyeka kichaka nyie mkapupuu vichakani matokeo yake vichaka vimestawi..Simba baada kutinga nusu fainali inakwenda kuwa ya 5 Kwa uboraCalculatator zitatuvusha robo na tunazitumia kufyeka hako ka kichaka