Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Shabiki asiye mwanachama, asiyelipia viingilio vya uwanjani, hanunui jezi, ni mzigo kwa Club.
Hiyo ni kweli nadhani clubs zitoe elimu Kwa mashabiki kuwajibika Kwa timu zao.
Sio mtu yupo mtaani anabishana Simba na Yanga sio Mwanachama, halipii ada, hana jezi, haendi kiwanjani
 
Reactions: Tsh
Hiyo ni kweli nadhani clubs zitoe elimu Kwa mashabiki kuwajibika Kwa timu zao.
Sio mtu yupo mtaani anabishana Simba na Yanga sio Mwanachama, halipii ada, hana jezi, haendi kiwanjani
Kabisa mkuu
 
Sio lazima nihitaji pesa niweze kufurahia mpira.
Sasa utaufurahi vipi bila pesa? Bila kuwa na jezi OG? Bila kulipia tiketi uwanjani? Bila kulipia king'amuzi? Bila kununua bundle ukasoma update? Hapa ulipo unaijadili timu yako si umelipia bundle?
 
Yupo sahihi kama, kama, kama, iwapo, iwapo, iwapo...
 
Sasa utaufurahi vipi bila pesa? Bila kuwa na jezi OG? Bila kulipia tiketi uwanjani? Bila kulipia king'amuzi? Bila kununua bundle ukasoma update? Hapa ulipo unaijadili timu yako si umelipia bundle?
Kwa hiyo mtu aliyepo kule kijijini ambaye hana jezi, hana pesa ya tiketi, hana king'amuzi, hana bundle, hawezi kwenda jirani kusikiliza kwenye redio au kumuuliza jirani yake matokeo ya timu yake pendwa ya arsenal, akaambiwa imeshinda, akafurahi? Mpaka awe na laki mfukoni ndiyo anaruhusiwa kusikia neno "football"?
 
Yupo sahihi kama, kama, kama, iwapo, iwapo, iwapo...
Ndiyo, mpira ni mchezo wa matokeo. Matokeo huja baada ya michezo husika. Bila kuwa na kama, kama, iwapo, iwapo kusingekuwa na haja ya football.
 
Naona uto hamjatupa calculator zenu bado mnazitafutia kazi.

Ranking ya msimu huu tuliopo wa 2024-25 haiwezi kubadilika na Simba ipo nafasi ya 7 na Yanga nafasi ya 13.

Kuhusu ranking ya msimu wa 2025-26, tusiandikie mate wakati wino upo. Unaanza kujigamba wakati mwenzio kashaingia robo fainali na wewe bado una kibarua kizito, na katika matokeo matatu yanayowezekana, mawili yanakutoa kwenye mashindano.

Usipovuka, Al Hilal na Pyramids ambao wameshafuzu wanaweza kukushusha ukarudi pale pale ulipokuwa. Unapata wapi ujasiri wa kuja na uzi kama huu mapema hivi?

Hata ukivuka haujui utaishia wapi na Simba itaishia wapi kwa hiyo mahesabu bado ni mabichi.
 
Eti wydad
 
Lazima kuna wakati atahitaji pesa maana hata kwenda hapo kwa jirani kufuatilia mpira anahitaji kuwa na afya, shibe, awe analipa madeni yake ili asikimbie au kuwakimbia majirani wenye radio akakosa update na hivi vitu vinahitaji fedha. Na kwanini umesema laki? Kwanini sio elfu hamsini? Au elfu kumi? Au nauli ya kufika uwanjani, au basi pesa ya chakula.

Mkuu huwezi ifuta pesa kwenye maisha ukasema una furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…