Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

Sasa wewe piga hesabu za hao walioumaliza mwendo sio timu inayoendelea na mashindano,
Wewe unakazana tu Simba anapoint kadhaa sawa ila bado anaendelea na mashindano.

Afu jambo la ajabu zaidi Wydad, Simba, Tp Mazembe unaziuwiananisha na Yanga ambayo hata bado hajafuzu robo fainali, ko hizo point unazozinadi humu Yanga haina.

Wake up Dude!... Tuliza kimuhemuhe upe muda nafasi.
 
Unaelewa unachokiandika? Haina hizo alama kivipi? Yanga hata asipofuzu atamaliza nafasi ya tatu ambayo ni alama 2, hivyo ni alama 5Γ—2=10 anakuwa na point 34. 5imba akiwa bingwa cafcc anavuna alama 20 anakuwa na alama 58. Hayo ni mahesabu marahisi kabisa yasiyohitaji akiki nyingi kuelewa
 
Sasa point 39 za Yanga ulikua unazitoa wapi wewe.
Upe muda nafasi yake.
 

Weka vizuri hii hesabu maana mimi imenichanganya. Au kuna mechi bado haijachezwa? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Topolo , mpira hauchezwi kwa maneno . Ni vigumu timu ya vibabu kucheza robofainali ya CAFCL .
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…