Kile Kipindi Unachoamua Kutoa Maamuzi Basi hakikisha Haurudi Nyuma Kamwe..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ukiona Uhusiano uliopo hauendi vile unavyotamani
uende waza upya, ukiona kila siku ni wewe tu
unayeumia na kuumizwa, na anayekuumiza hajali
japo ni mwepesi wa kulia michozi ndoo nzima pindi
ukimwambia unataka kumuacha, tafakari sana!
Na ikifikia kipindi umeona its enough, na unataka Kumove On, usiruhusu kitu chochote kukurudisha
nyuma, usiruhusu Feeling zako mwenyewe kukulet
down, usiruhusu marafiki wasumbue decision
yako, wala usimruhusu EX kukuhadaa kwa maneno
matamu ili urudi..Funga Vioo,weka tinted kali!
Leo mvua imenyesha utaona EX anatuma meseji '''Vipi na huko mvua imenyesha, nasikia baridi kweli'? We
mwambie Mimi sio mamlaka ya hali ya hewa, kama
unasikia baridi Washa Heater...
Hizi ni meseji tu za
uchokozi ili apate attention yako, na ukimruhusu
atauliza mambo kadha wa kadha, mara hujanimiss na
hii baridi, mara I wish you were here....atakutoa kwenye concentration yako as u progress to heal your
wounds!
Usikubali kuwa mtumwa wa Uhusiano ambao wewe
unapata 20% na yeye 80% halafu unasema 'Iam in a
relatinship'..my friend you are in Prison sema tu Mapenzi
hayana magwanda ya Orange kama wafungwa wa Keko! Move on, your better Man/ Woman is waiting for
you we umekazana na hilo nungayembe..Always
move forward!
 
Leo umenenaa ulikuwa ni wewe ulieandika Muache Aende ,,Ulinisaidia sana na Leo nimenenepa nilio waacha Wananibembeleza kinomaa nami kimyaa nawaenjoy,, Hasa kama Kuna Madame flani hivi alizani Ajila ndo Mme akaleta mapozii Leo A natamani saana
 
Ukitaka kumuua nyani, usimwangalie usoni.
Akumuulikae mchana, usiku atakuchoma.
 
Bonge ya ushauri asee

*vitendo sasa ndo huwa vinaleta ugumu, kuna watu wamezama jamani, kutoka wanashindwa kabisa kabisaa.
 
Mapenzi ni uvumilivu
Na haswa kama mmependana
Uta move on nawangapi?
Mpaka lini?
Ikishindikana kabisa kabisa Mpaka kwenye point of no return
Sepaaaa.
 
Maneno yamenichoma kama mkuki ndugu,nilisharudi nyuma na yakanikuta makubwa mkuu,inauma kukutana na ukweli kama huu
 
nakubali sana
 
Maneno yamenichoma kama mkuki ndugu,nilisharudi nyuma na yakanikuta makubwa mkuu,inauma kukutana na ukweli kama huu
Pole sana@mangimeli , wahenga wanasema Hakuna mahusiano yanayopita burebure, kama hayatokupa unachotaka basi yatakufunza,
so hope umejifunza
 
Leo umenenaa ulikuwa ni wewe ulieandika Muache Aende ,,Ulinisaidia sana na Leo nimenenepa nilio waacha Wananibembeleza kinomaa nami kimyaa nawaenjoy,, Hasa kama Kuna Madame flani hivi alizani Ajila ndo Mme akaleta mapozii Leo A natamani saana
Haahah sasahivi ni zamu yako ya kukunja nne
 
Bonge ya ushauri asee

*vitendo sasa ndo huwa vinaleta ugumu, kuna watu wamezama jamani, kutoka wanashindwa kabisa kabisaa.
Kama wamezama kwenye shimo lenye moto na hawataki kutoka hayo ni maamuzi yao na hatupaswi kuwahurumia
 
Mapenzi ni uvumilivu
Na haswa kama mmependana
Uta move on nawangapi?
Mpaka lini?
Ikishindikana kabisa kabisa Mpaka kwenye point of no return
Sepaaaa.
Yeah, maji yakizidi unga inakuwa haina budi
 
Mmh! Basi sawa, maana kama ni jiwe gizani hilo, na maumivu ni kwa aliyepatwa nalo.

Ila kiukweli, mahusiano haya daah, kuna wakati nakaa nawazaaaa, hadi najishangaa kwa kujiuliza tu, 'hivi kweli mimi nilitoka pale / kule, tena salama kiafya mwilini?'. Mwishowe najikuta natabasamu tu. Kweli kua uyaone.

Ahsante!
 
Back
Top Bottom