STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Ukiona Uhusiano uliopo hauendi vile unavyotamani
uende waza upya, ukiona kila siku ni wewe tu
unayeumia na kuumizwa, na anayekuumiza hajali
japo ni mwepesi wa kulia michozi ndoo nzima pindi
ukimwambia unataka kumuacha, tafakari sana!
Na ikifikia kipindi umeona its enough, na unataka Kumove On, usiruhusu kitu chochote kukurudisha
nyuma, usiruhusu Feeling zako mwenyewe kukulet
down, usiruhusu marafiki wasumbue decision
yako, wala usimruhusu EX kukuhadaa kwa maneno
matamu ili urudi..Funga Vioo,weka tinted kali!
Leo mvua imenyesha utaona EX anatuma meseji '''Vipi na huko mvua imenyesha, nasikia baridi kweli'? We
mwambie Mimi sio mamlaka ya hali ya hewa, kama
unasikia baridi Washa Heater...
Hizi ni meseji tu za
uchokozi ili apate attention yako, na ukimruhusu
atauliza mambo kadha wa kadha, mara hujanimiss na
hii baridi, mara I wish you were here....atakutoa kwenye concentration yako as u progress to heal your
wounds!
Usikubali kuwa mtumwa wa Uhusiano ambao wewe
unapata 20% na yeye 80% halafu unasema 'Iam in a
relatinship'..my friend you are in Prison sema tu Mapenzi
hayana magwanda ya Orange kama wafungwa wa Keko! Move on, your better Man/ Woman is waiting for
you we umekazana na hilo nungayembe..Always
move forward!