Best home tutor
Senior Member
- May 8, 2026
- 194
- 268
Utawala dhalimu wa damu, mmeua maelfu ya watu kujitangaza bila ridhaa ya umma..
Mmeteka na Mnateka watu ili kuwajaza watu hofu..
Mnawategea wengine sumu ili kuwaua na kumaliza kila anaewakosoa..
Ushirika wa kidhalimu huwa haudumu, hakuna mwenye unafuu miongoni mwenu…
Wote mmekalia viti vya damu na vyeo vya uongo…
Damu ya Watanzania itaendelea kuwanenea kila baya nyie na familia zenu.
Ni muhimu mmeanza kumalizana, kama boss anaweza kutuma mtu kuita msaidizi wake majina (YUDA)
Watanzania tutashinda vita hii, hakuna mwenye nafuu ccm wote ni walewale
John heche ✍️✍️
NIFOLLOW Deo Tv