Kile kiti guest house huwa kina kazi gani?

Kile kiti guest house huwa kina kazi gani?

inaitwa Posto Bella ipo maeneo ya bunju kama unaenda bagamoyo uko wanaenda wahuni tu kujificha weekends wanazuga wapo mkoani kikazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepapenda ghafla
 
Ungeelewa dhana yangu ya kutengeneza loopholes kwa hotel attendant wala usingefikia kuuliza swali lako.
Loopholes ulizotengeneza ni mabwawa sio vishimo!.. Tengeneza loopholes zenye mantiki siku nyingine!.🙂
 
Kile kiti kinasaidia baadhi ya style ambazo kwenye kitanda unapata tabu
 
Mkuu hiyo hotel sio kwa ajili ya watz tu. Hivyo si watu wote wako familiar na madafu yetu. Hivyo basi hiyo gharama nimeipata kayak.com na booking.com. Bila shaka ukienda physically bei itakuwa kwa madafu na cheap zaidi.
Mwanangu usimpeleke bila kuwa na reservation asije akafika akaambiwa it's full booked akaanza kutafuta guest zake za mba.
 
Mwanangu usimpeleke bila kuwa na reservation asije akafika akaambiwa it's full booked akaanza kutafuta guest zake za mba.
Mkuu wabongo ndio tunataka hizi mambo za kushtukiza. Unaweza kuta online ni rahisi kuliko physically. Wacha akajaribu mkuu
 
Shikamoo, umevunja viwili,una bidii kweli
Mwanzoni nilijua ni viti kwa ajili ya kubadilisha mastaili,ila toka nilivovunja viwili nikaanza kuhisi labda vina matumizi tofauti
 
Mdau kutoka humuhumu JF anauliza sababu ya kuwekwa kiti cha plastiki katika baadhi ya guest house.
Anasema huwa anapata tabu sana pale anapopata kuku wa kienyeji akiingia tu hukimbilia kuketi kwenye kiti, sasa inamuwia vigumu kuanza kupetpet hadi akubali kupanda kitandani.

Wajuzi wa haya mambo tupeni uzoefu kidogo.
Kma unaona kinazingua unakito 2 na kukikabiz kwa muhudumu na kuendelea na yako
 
Kama ni hotelini,vile viti na meza vinatumika kwa ajili ya vinywaji,chakula pamoja na kuchombeza kwa staili tofauti tofauti kabla ya 'bed' baada ya hapo kinaweza kutumika kwa michezo yenu humo ndani ya hapa na pale.
 
jitu linaingia mpaka gesti alafu halijui limeenda kufanya kazi gani? mbona watu wengine wanazingua aisee [emoji23]
 
Back
Top Bottom