Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Ungeelewa dhana yangu ya kutengeneza loopholes kwa hotel attendant wala usingefikia kuuliza swali lako.Dola ishawahi kufika 2800 Tanzania!?..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimepapenda ghaflainaitwa Posto Bella ipo maeneo ya bunju kama unaenda bagamoyo uko wanaenda wahuni tu kujificha weekends wanazuga wapo mkoani kikazi
Wazinzi na Waasherati wamepata sehemu ya "machinjio".
Tehetehete hatari sanaMwanzoni nilijua ni viti kwa ajili ya kubadilisha mastaili,ila toka nilivovunja viwili nikaanza kuhisi labda vina matumizi tofauti
Loopholes ulizotengeneza ni mabwawa sio vishimo!.. Tengeneza loopholes zenye mantiki siku nyingine!.πUngeelewa dhana yangu ya kutengeneza loopholes kwa hotel attendant wala usingefikia kuuliza swali lako.
Ni kweli kabisa Mfalme Daudi alivya hiyo dhambi, lakini alipoambiwa kuwa amekosea, alitubu kwa MUNGU na kuacha kabisa hivyo vitendo. Na ninyi pia mkiambiwa kuwa ZINAA ni dhambi, basi tubuni na acheni kabisa.Mkuu hata King Daudi alizini mpka akaua mume wa hawala yake hili aendelee kula utamu
Basi wacha tuzini kwanza halafu tutatubu kama DaudiNi kweli kabisa Mfalme Daudi alivya hiyo dhambi, lakini alipoambiwa kuwa amekosea, alitubu kwa MUNGU na kuacha kabisa hivyo vitendo. Na ninyi pia mkiambiwa kuwa ZINAA ni dhambi, basi tubuni na acheni kabisa.
Dah!!Ni kweli na bei ni dola 17 @ night
Unakwenda kujichimbia bunju ndani ndani huko kuanzia ijumaa. Unaitafuna biology tartibuuuuDah!!
Pesa ndogo Sana hi.
Kwa kupata amani ya papuchi!!
Mwanangu usimpeleke bila kuwa na reservation asije akafika akaambiwa it's full booked akaanza kutafuta guest zake za mba.Mkuu hiyo hotel sio kwa ajili ya watz tu. Hivyo si watu wote wako familiar na madafu yetu. Hivyo basi hiyo gharama nimeipata kayak.com na booking.com. Bila shaka ukienda physically bei itakuwa kwa madafu na cheap zaidi.
Mkuu wabongo ndio tunataka hizi mambo za kushtukiza. Unaweza kuta online ni rahisi kuliko physically. Wacha akajaribu mkuuMwanangu usimpeleke bila kuwa na reservation asije akafika akaambiwa it's full booked akaanza kutafuta guest zake za mba.
Mwanzoni nilijua ni viti kwa ajili ya kubadilisha mastaili,ila toka nilivovunja viwili nikaanza kuhisi labda vina matumizi tofauti
Shukrani sana. Ebana tozi25 jibu limetolewa hapa. Nime google ebana kitu ya ukweli. Ngoja nifanye mpango weekend hii nikapumzike pande hizo. View attachment 888050View attachment 888051View attachment 888052
Usiogope mkuu wewe fanya ZINAA upendavyo, fanya mchana, usiku, na jioni. Kazana tena kazana sana mkuu.Basi wacha tuzini kwanza halafu tutatubu kama Daudi
Kma unaona kinazingua unakito 2 na kukikabiz kwa muhudumu na kuendelea na yakoMdau kutoka humuhumu JF anauliza sababu ya kuwekwa kiti cha plastiki katika baadhi ya guest house.
Anasema huwa anapata tabu sana pale anapopata kuku wa kienyeji akiingia tu hukimbilia kuketi kwenye kiti, sasa inamuwia vigumu kuanza kupetpet hadi akubali kupanda kitandani.
Wajuzi wa haya mambo tupeni uzoefu kidogo.
Mwanzoni nilijua ni viti kwa ajili ya kubadilisha mastaili,ila toka nilivovunja viwili nikaanza kuhisi labda vina matumizi tofauti