Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tutafakari upya kabla hatujaropoka. Zilizoshindwa ni SHULE ZA DAR sio WATOTO WA DAR. Una hakika gani hao walioshika nafasi za juu si wakaazi wa Dar huko walienda tu kusoma?Sijawahi ona watoto vilaza km hawa wa dar, wizara ya elimu makao makuu yapo dar, maktaba ya taifa ipo dar, rada ya taifa ipo dar, simba na yanga zipo dar, majarida ya nyambari nyangwine yanachapishwa dar, oxford printing press ipo dar, n.k lakini bado wametoa shule *sita bora kwa ubovu*. Isitoshe hata wimbo wa darasa producer anaishi dar bado wanafeli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dar starehe nyingi hakuna kusoma...mtoto anasoma pemben pana baa pana gest pana club nk..kusoma kutatokea wapHebu tutafakari upya kabla hatujaropoka. Zilizoshindwa ni SHULE ZA DAR sio WATOTO WA DAR. Una hakika gani hao walioshika nafasi za juu si wakaazi wa Dar huko walienda tu kusoma?
Mtihani si tu ni kipimo cha uelewa wa mwanafunzi, ni vile vile kipimo cha uwezo wa mwalimu kumfundisha mwanafunzi