Kile nilichomfanya dereva bajaji hatonisahau

Kile nilichomfanya dereva bajaji hatonisahau

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Yaani mi natembe zangu kwa miguu nawaza hili gonjwa la corona itakuwaje mfukoni sina kitu mvua imeninyeshea nimeloa nafikiririagetho naenda kula nini katika ile kupishana mi nilikuwa naenda yeye anapandisha

Kumbe kwenye bajaji yake mle nyuma kachomelea wire mreeefuu( arial) kama ya radio au yale magari ya wasiojulikana zile arial zao zinazokaa nyumaau mbele pale[emoji23][emoji23]na kapachika hapo tenesi 2 basi ile wire inanesanesa.

Wakati bajaji yake imefikausawa wangu ile wire ikanesa ikaja kuingia huku shingoni mwangu kama inanichinja hivi basi mi nikatoa mlio kama wakulalamika kanikanyaga yeye si akasimama!!!aaee nilienda moja kwa moja na ngui nzito huenda ingepimwa ni kama kilo 38 hivi nikamweka moja pale juu mwishoni mwa sikio basi niliona kapitiliza hadi chini kaachia bajaji yake inaenda yenyewe abiria wake 3 wakashika nao wakaanza kutafuta kila mmoja njia yake.

Nakumbuka niliona wanamsogeza pembeni tuu wengine wanamwambia pole alafu mimi huyooo nikasepa zangu hakuna alieniuliza imekuwaje ila yule mshenzi nadhani alijua kosa lake.ile wire niliing'oa nikaitupa pembeni kabisa tena ana bahati nilitaka niendeleze nayo kichapo nikajikuta nimeondoka.
Mpaka sasa kwenye ile njia naogopeka sana wananiita ngumi jiwe
 
Nenda kituo chochote cha police waambie yakupasayo kufanya
 
Kumbe unafahamika njia hiyo?

Jipange, kishindo kitakachofuata ni kikubwa lazima jamaa anaandaa makaburi mawili kabla ya kulipa kisasi.

Kwa taarifa zaidi mtafute Arafat NgumiJiwe.
 
Uzuri mmoja kule naonekana mara 1 kwa miezi kadhaa na ni mara chache sana natembeaga kwa miguu. Ila wanananijua maana kuna kipindi nafanya mazoeziyangu ya mchaka mchaka nilikuwa navaa kanzu yangu jeupe na mkanda mweusi kiunoni na nakimbia peku hivyo kuna wanaonijua kwa kuniona ila hawana la kunifanya

Dah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri mmoja kule naonekana mara 1 kwa miezi kadhaa na ni mara chache sana natembeaga kwa miguu. Ila wanananijua maana kuna kipindi nafanya mazoeziyangu ya mchaka mchaka nilikuwa navaa kanzu yangu jeupe na mkanda mweusi kiunoni na nakimbia peku hivyo kuna wanaonijua kwa kuniona ila hawana la kunifanya
Hahaa harikaa...Yani unavaa kanzu na black belt...!!😁😁😁..apo lazima waogope
 
Da jamaa bana unajisifia kumtandika ngumi mtu aliyedhoofika kwa covid 19
 
Back
Top Bottom