wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Yaani mi natembe zangu kwa miguu nawaza hili gonjwa la corona itakuwaje mfukoni sina kitu mvua imeninyeshea nimeloa nafikiririagetho naenda kula nini katika ile kupishana mi nilikuwa naenda yeye anapandisha
Kumbe kwenye bajaji yake mle nyuma kachomelea wire mreeefuu( arial) kama ya radio au yale magari ya wasiojulikana zile arial zao zinazokaa nyumaau mbele pale[emoji23][emoji23]na kapachika hapo tenesi 2 basi ile wire inanesanesa.
Wakati bajaji yake imefikausawa wangu ile wire ikanesa ikaja kuingia huku shingoni mwangu kama inanichinja hivi basi mi nikatoa mlio kama wakulalamika kanikanyaga yeye si akasimama!!!aaee nilienda moja kwa moja na ngui nzito huenda ingepimwa ni kama kilo 38 hivi nikamweka moja pale juu mwishoni mwa sikio basi niliona kapitiliza hadi chini kaachia bajaji yake inaenda yenyewe abiria wake 3 wakashika nao wakaanza kutafuta kila mmoja njia yake.
Nakumbuka niliona wanamsogeza pembeni tuu wengine wanamwambia pole alafu mimi huyooo nikasepa zangu hakuna alieniuliza imekuwaje ila yule mshenzi nadhani alijua kosa lake.ile wire niliing'oa nikaitupa pembeni kabisa tena ana bahati nilitaka niendeleze nayo kichapo nikajikuta nimeondoka.
Mpaka sasa kwenye ile njia naogopeka sana wananiita ngumi jiwe