Kile Tulichokisubiri Ni Hichi Hapa Kwa Wale Washabiki Wa EPL

Rajab_Omar

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2016
Posts
16,482
Reaction score
27,182
Salam Wakuu,




Juventus vs. Tottenham Hotspurs

Basel vs. Manchester City

Porto vs. Liverpool

Sevilla vs. Manchester United

Real Madrid vs. Paris Saint-Germain

Shakhtar Donetsk vs. Roma

Chelsea vs. Barcelona

Bayern Munich vs. Besiktas


Ratiba ya: LA LIGA v/s EPL

SEVILLA vs MAN UNITED

BARCELONA vs CHELSEA

Hili Ni Onyo Maalum Tunalojitayarisha Kuwakata Kidomodomo Wale Wapenzi Wa Kigenge Cha La Laliga ambacho Blindly wanabelieve Kuwa Ni Ligi Bora...

Nikimtazama Real Madrid vs PSG πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Kiroho Safi Natamka Kuwa Hakuna Timu Hata Moja Ya La Liga itakayoingia Robo Finalis...

Na Hakuna Hata Timu moja Ya EPL itakayokosa Kuenda Robo Finali...

Na Hapa Wale Wasioiheshimu EPL Ndiyo Watakapoona Kuwa EPL Ni Ligi Bora kuliko La Liga manake Hatumuacha Mtu Salama... πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

[HASHTAG]#EPLFOREVER[/HASHTAG]
 
Isije kuwa ni ndoto ya mchana lakini..,
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Isije kuwa ni ndoto ya mchana lakini..,
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Jiandae Kuja Kuuona Mziki Wa EPL πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
King Ngwaba sijasahau bangi za Klopp kupanga kikosi cha ajabu jana na mbaya zaidi sub ya Mo ndo ikamatumaliza. Sasa kwa Porto anaweza kuleta madudu tena tukapigwa kirejareja
 
mkuu umeanza kushabikia lin mpira?

Kwahyo huu ndio msimu wa kwanza timu za La liga na Epl uchwara zimekutana?
 
Mmmmmmh mbombo ngafu kwamba Chelsea atapona kwa Barcelona
 
mkuu umeanza kushabikia lin mpira?

Kwahyo huu ndio msimu wa kwanza timu za La liga na Epl uchwara zimekutana?

Zamani Sikuwa Na Muda Wa Kuandika Post Zinazohusu La Liga Coz Bongo Hakukuwa na Washabiki Wa La Liga!
Washabiki Sote Tulikuwa EPL...
Ni Azam TV ndiye Aliyetuletea Washabiki Maandazi Wa La Liga...


So, Naandika Post Hizi Kwa Kuwajibu Wale Wanaoclaim Kuwa Kigenge Chao cha La Liga Ni Ligi bora Wakati Ni Upumbavu tu..
 
Achakujifanya wewe matawi makubwa watu wanaijua laliga kabla Mzee wako atacheo ajapanda
 
Chelsea waamue kukaba huyo Barcelona wako atapita wapi!?..Barcelona ya messi hajawahi mfunga chelsea..kwa hesabu za mpira barce katoka
Barcelona ana rekodi kwa Chelsea labda mbeleko itumike kama 2009
 
mimi namwombea Sevilla apige mtu hapo. EPL wengine poa - washinde wote.

sababu unaijua!

samahani lakini...lol!!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jamani msichukie, mpira ni furaha na utani ndio raha yenyewe. sisi ni wapenzi wa EPL haina maana nyinyi La liga ndio hamjui. Kuna ukweli mmoja tu hauwezi kubadilika hata hiyo miaka ambayo tulikuwa hatufanyi vizuri CL ila ndio kwanza EPL ikawa unavunja record ya pesa na kuangaliwa na watu wengi duniani. mwaka jana pesa aliyepokea aliyeshuka daraja alichukuwa pesa ndefu kuliko Athletico Madrid. kizuri kina bei yake haiji kwa bahati. tunajuwa kabisa huwezi kununua BMW kwa bei Hyundai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…