Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
- Thread starter
- #21
mimi namwombea Sevilla apige mtu hapo. EPL wengine poa - washinde wote.
sababu unaijua!
samahani lakini...lol!!
😀 😀 😀 😀 😀 Mkuu Nimekufahamu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi namwombea Sevilla apige mtu hapo. EPL wengine poa - washinde wote.
sababu unaijua!
samahani lakini...lol!!
Ukiuliza kwenye miaka 10 ni mara ngapi hao wapiga vuvuzela wa EPL wamebeba mara ngapi UCL naweza kuambulia matusi [emoji23][emoji23][emoji23]
Na huyu pacha wangu?31st Jan: Tottenham vs Man Utd
3rd Feb: Liverpool vs Tottenham
10th Feb: Tottenham vs Arsenal
13th Feb: Juventus vs Tottenham
Spurs' fixture list is not looking very fun...
Chelsea hii hii ya wachezaji dizaini ya Bakayoko (Ndanda Kosovo) ndiyo imtoe barca??
31st Jan: Tottenham vs Man Utd
3rd Feb: Liverpool vs Tottenham
10th Feb: Tottenham vs Arsenal
13th Feb: Juventus vs Tottenham
Spurs' fixture list is not looking very fun...
We jamaa sura yako inaweza kuwa inafanana na PAPUCHIZamani Sikuwa Na Muda Wa Kuandika Post Zinazohusu La Liga Coz Bongo Hakukuwa na Washabiki Wa La Liga!
Washabiki Sote Tulikuwa EPL...
Ni Azam TV ndiye Aliyetuletea Washabiki Maandazi Wa La Liga...
So, Naandika Post Hizi Kwa Kuwajibu Wale Wanaoclaim Kuwa Kigenge Chao cha La Liga Ni Ligi bora Wakati Ni Upumbavu tu..
Na inaelekea huko shule hakuna ulichokuwa unakiweza coz huna hata hoja za msingi hapa na hata ukizungumzia kinachoendelea bado kila kitu kipo mikononi mwa timu za la liga...sasa ukizungumzia kinachoendelea kitu gani utazungumzia juu ya timu za Uingereza ????Mkuu Kwa Bahati Mbaya Mimi Shule Sikuwahi Kusoma Somo la Historia! Kwahiyo Hapa Hatujadili Historia ya Mpira Bali Tunajadili Kinachoendelea na Tunachokiona Sasa....
Kama Ni Historia labda Nenda Shule Ukaulize Madogo Wa HKL...
Mara ya mwisho kuchukua UEFA nyie ni lini?Zamani Sikuwa Na Muda Wa Kuandika Post Zinazohusu La Liga Coz Bongo Hakukuwa na Washabiki Wa La Liga!
Washabiki Sote Tulikuwa EPL...
Ni Azam TV ndiye Aliyetuletea Washabiki Maandazi Wa La Liga...
So, Naandika Post Hizi Kwa Kuwajibu Wale Wanaoclaim Kuwa Kigenge Chao cha La Liga Ni Ligi bora Wakati Ni Upumbavu tu..
We jamaa sura yako inaweza kuwa inafanana na PAPUCHI
Mara ya mwisho kuchukua UEFA nyie ni lini?
Alfu na sisi tukuambie
Mbona kama una jazba vile?!! Si tusubiri tu muda ufike ili kwamba Chelsea waudhihirishie ulimwengu kuwa Barcelona na Qarabang wanatofautiana jezi tu? Halafu hapo ndio sasa tuanze kuitana wapumbavuZamani Sikuwa Na Muda Wa Kuandika Post Zinazohusu La Liga Coz Bongo Hakukuwa na Washabiki Wa La Liga!
Washabiki Sote Tulikuwa EPL...
Ni Azam TV ndiye Aliyetuletea Washabiki Maandazi Wa La Liga...
So, Naandika Post Hizi Kwa Kuwajibu Wale Wanaoclaim Kuwa Kigenge Chao cha La Liga Ni Ligi bora Wakati Ni Upumbavu tu..
Vyovyote vile lkn sura yako inaweza ikawa inafanana na hiyo kitu...Ningelikujibu lakini Najua Moderators Hawataniachia Mimi Nimalizane na Wewe Bali Wataingilia Kati Kwa Kunipiga Ban...
Kwahiyo itabini Nikupuuze tu Comments zako...
Tunazungumzia MPIRA hapa, sio PESAJamani msichukie, mpira ni furaha na utani ndio raha yenyewe. sisi ni wapenzi wa EPL haina maana nyinyi La liga ndio hamjui. Kuna ukweli mmoja tu hauwezi kubadilika hata hiyo miaka ambayo tulikuwa hatufanyi vizuri CL ila ndio kwanza EPL ikawa unavunja record ya pesa na kuangaliwa na watu wengi duniani. mwaka jana pesa aliyepokea aliyeshuka daraja alichukuwa pesa ndefu kuliko Athletico Madrid. kizuri kina bei yake haiji kwa bahati. tunajuwa kabisa huwezi kununua BMW kwa bei Hyundai.