Kile Tulichokisubiri Ni Hichi Hapa Kwa Wale Washabiki Wa EPL

Ukiuliza kwenye miaka 10 ni mara ngapi hao wapiga vuvuzela wa EPL wamebeba mara ngapi UCL naweza kuambulia matusi [emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu Kwa Bahati Mbaya Mimi Shule Sikuwahi Kusoma Somo la Historia! Kwahiyo Hapa Hatujadili Historia ya Mpira Bali Tunajadili Kinachoendelea na Tunachokiona Sasa....

Kama Ni Historia labda Nenda Shule Ukaulize Madogo Wa HKL...
 
31st Jan: Tottenham vs Man Utd
3rd Feb: Liverpool vs Tottenham
10th Feb: Tottenham vs Arsenal
13th Feb: Juventus vs Tottenham

Spurs' fixture list is not looking very fun...
 
Mbwembe za nn EPL imepoteza ubora msimu wa TATU huu mtawaliwaa let tuone je watarudisha ubabe na kuuendelezaaa????
 
Chelsea hii hii ya wachezaji dizaini ya Bakayoko (Ndanda Kosovo) ndiyo imtoe barca??
 
Chelsea hii hii ya wachezaji dizaini ya Bakayoko (Ndanda Kosovo) ndiyo imtoe barca??

Ikiwa Mpira Utauhesabu Ni Sawa na Ring ya Boxing kwamba anaingia One-to-One i.e. Messi vs Bakayoko Basi Chelsea Kashatolewa...

Lakini ikiwa Mpira Utauhesabu Kuwa Ni Teamwork i.e. Barcelona vs Chelsea Basi Barcelona hana Safari Ni Kutolewa tu..
 
31st Jan: Tottenham vs Man Utd
3rd Feb: Liverpool vs Tottenham
10th Feb: Tottenham vs Arsenal
13th Feb: Juventus vs Tottenham

Spurs' fixture list is not looking very fun...

Mkuu Hapo Mbona imebalance Virzuri tu!! Yani..

2 Games Home
2 Games
Away
 
We jamaa sura yako inaweza kuwa inafanana na PAPUCHI
 
Mkuu Kwa Bahati Mbaya Mimi Shule Sikuwahi Kusoma Somo la Historia! Kwahiyo Hapa Hatujadili Historia ya Mpira Bali Tunajadili Kinachoendelea na Tunachokiona Sasa....

Kama Ni Historia labda Nenda Shule Ukaulize Madogo Wa HKL...
Na inaelekea huko shule hakuna ulichokuwa unakiweza coz huna hata hoja za msingi hapa na hata ukizungumzia kinachoendelea bado kila kitu kipo mikononi mwa timu za la liga...sasa ukizungumzia kinachoendelea kitu gani utazungumzia juu ya timu za Uingereza ????
 
Mara ya mwisho kuchukua UEFA nyie ni lini?

Alfu na sisi tukuambie
 
We jamaa sura yako inaweza kuwa inafanana na PAPUCHI

Ningelikujibu lakini Najua Moderators Hawataniachia Mimi Nimalizane na Wewe Bali Wataingilia Kati Kwa Kunipiga Ban...
Kwahiyo itabini Nikupuuze tu Comments zako...
 
Kuwa timamu na kuamin kwako mkuu hapa ni lazima ujue barcelona cn timu ya kubeza hata siku moja maana chelsea iliyoisumbua barca si hii ya conte ambayo naiona mimi barca atashinda zaid ya tano hutoamini
 
Sifikirii madrid kutolewa na ile psg ya Kukusanyana kutolewa hilo sahahau mkuu
 
Mbona kama una jazba vile?!! Si tusubiri tu muda ufike ili kwamba Chelsea waudhihirishie ulimwengu kuwa Barcelona na Qarabang wanatofautiana jezi tu? Halafu hapo ndio sasa tuanze kuitana wapumbavu
 
Ningelikujibu lakini Najua Moderators Hawataniachia Mimi Nimalizane na Wewe Bali Wataingilia Kati Kwa Kunipiga Ban...
Kwahiyo itabini Nikupuuze tu Comments zako...
Vyovyote vile lkn sura yako inaweza ikawa inafanana na hiyo kitu...
 
Tunazungumzia MPIRA hapa, sio PESA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…