Kile unachoandika mtandaoni kinasadifu jinsi ulivyo

Inawezekana mkuu!!
1.Dogo alijua anayeandika upuuzi JF ni shemeji yake baada ya kuona watu wanamtag kwamba ndie baba mtoto wangu.

2. Nikamwelewesha kwamba huyo sio Ex shemeji yako ni mtu tuu wa JF nisiyemjua aliamua kujitangaza ndio baba mtoto.

3. Nikamsifia kabisa Ex kwamba pamoja na yote yeye hana nyuzi za kipuuzi humu mara nyingi utamkuta nyuzi za sprots na Jamii intelligence, hata kama ni mpuuzi hawezi kuuweka hadharani.
 
🀣🀣🀣🀣Bado unateseka na vimbwanga vya humu, kikubwa umefikisha ujumbe mengn yaache!
 

Umesema kweli, maana hata wewe ulichokiandika kinasadifu jinsi ulivyo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…